Wema Sepetu: Najuta kutoa mimba ya Marehemu Kanumba

Majuto Ni mjukuu siku zote hatushangai
 
wew ndio umenena jambo la maana, huyu dada akitaka msaada zaidi ajaribu kuiface jamii mana huku kuna wengi watamsaidia shida zake
 
Liusemi la kipumbavu kabisa hilo.

Kioo cha jamii my black azz....

Wanaposema wasanii kioo cha jamii wanamaanisha wasanii wanaakisi jamii fulani ipoje...Yani ukiwaangalia hao wasanii unaona jamii husika ilivyo....And its true.....Kiujumla...Watanzania wengi tabia zetu hazitofautiani sana na hawa jamaa..Sema tu wao ishu zao zipo public......Na wengi tunapenda sana story hizi...We angalia post zenye views nyingi zaidi humu celebriies forum kama sio zenye jina la sepenga na zilizojaa umbea umbea....These guys are just giving us what we love....They reflect our true societies...They are the mirror
 
Kesho kutwa kukiwa na Kampeni ya watu wanaohamaisha matumizi ya Kondomu na yeye atasema huwa anatumia Kondomu na nio Balozi wa Kondomu hahahahahahaa kwa kweli kondomu hazina matumizi kabisa siku hizi
 
Kumbe wakati anazunguka na Mhe Samia kwenye kampeni hii ya kutoa mimba nayo ilikuwa agenda? Maana sasa hivi idadi ya watoa mimba imeongezeka wanaiga "kioo cha jamii"
 
Keshikutwa kukiwa na Kampeni ya watu wanaohamaisha matumizi ya Kondomu na yeye atasema huwa anatumia Kondomu na nio Balozi wa Kondomu hahahahahahaa kwa kweli kondomu hazina matumizi kabisa siku hizi
Iko Siku na Mimi Ntaitwa Mama – Wema Sepetu Afunguka



Wema Sepetu ana kila kitu anachokitaka duniani, fedha, magari na vingine lakini amekosa kitu kimoja tu muhimu – mtoto.

Na Miss Tanzania huyo wa zamani anataka watu wajue kuwa suala la mtoto si kitu anachokichukulia poa hata kidogo. Muigizaji huyo alielezea hisia zake hizo kwa kupost picha akiwa na mama yake na kuandika: Iko siku na mimi ntaitwa Mama.’ Aliongeza emoji za mtu mwenye huzuni.

Miezi kadhaa iliyopita Wema na Idris walitangaza kutarajia kupata watoto mapacha lakini baadaye walitangaza kuwapoteza. Kwa muda mrefu Wema amekuwa muwazi kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba katika muda anaotaka kufanya hivyo.

Mashabiki wake wameendelea kumpa moyo na kumtaka asikate tamaa.

“Usikate tamaa @wemasepetu unakumbuka sara wa ibrahim alizaa akiwa mzee sana cha msingi endelea kumwomba mungu na jiweke karbu nae hakuna kinachoshindikana kwake,” ameandika shabiki mmoja.
 
Sasa si ashtakiwe kwa kutoa mimba ? Na amekiri mwenywe
Huyu ni wa kuweka ndani
 
Humu watoa mimba wamejaa kibao (wanawake kwa wanaume), lakini wanamsakama Wema tuuuuu!!! Labda kinachomponza Wema ni staili yake ya kuweka hadharani mambo yake mengi, sio mfichifichi.
 
Huyu demu kuingia kwenye mahusiano naye unatakiwa uwe na moyo zaidi ya al shabab
 

Mke wa sugu na take 1
 
Wema kuweka wazi jambo kama hilo ni dalili tosha za kujutia na sio mnafiki. Ole wako wewe binti unayekandia Wema hapa wakati wewe umeshatoa mimba tatu, au wewe kidume unayeponda wakati umeshalipia sana gharama za abortion.
 
Nilibahatika kukaa mkoa wa MBEYA mambo kama haya
husema
mbombo ngafu
 
Pole sana,siwezi kukuutukana wala kukukebehi japo si shabiki wako lakini kuna siku ndoto yako itatimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…