Huyu wema ina maana kila aina ya mwanamme ameshatembea nae? Bado anapewa sifa kwenye media, hivi ili ufikie umalaya kuna kiwango chochote cha wanaume unahitajika utembee nao, kila akiongea hivi anajiskia ndio media zinampablish lakini sio kweli, ndio anazidi kujidhihirisha na kuonesha kua tabia zake ni chafu