Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wanawake wengi huwa wanatoa,hasa Waliopo vyuo vikuu nk!Madaktari wanajua vyema huu mchezo.Wanaotoa kwa genuine reason ni wacheche sana.
Hao wanawake waliopo vyuo vikuu kama wanatoa mimba inamaana elimu yao haijawasaidia? Kuna mbinu nyingi za kujikinga na mimba, kwanza kupata mimba kiholela inamaana hujikingi na magonjwa ya zinaa pia.