Wema Sepetu: Najuta kutoa mimba ya Marehemu Kanumba

kumbe nyumba yya wema ya mimba aikai kitu, aje nimtibie na dawa za kihaya haitatoka tena, labda aniaambie anataka mtoto afanane na nani?
 
Hivi MTU akitangaza katoa mimba hawezi kushtakiwa?
Sheria inasemaje ikitokea mtu kakiri kufanya kosa.

Kutoa mimba ni kosa la jinai iwe uliitoa miaka kumi iliyopita au jana sheria ipo.Labda uwe ulitolewa na daktari kukuepusha kifo.Inakuwa rahisi sana kwa mahakama na waendesha mashtaka unapokuwepo ushahidi wa mkosaji kama huyu anaekiri mwenyewe kulitenda hilo kosa.Tatizo kwa suala hili la Wema kufikishwa mbele ya sheria linakuwa ni mwenzetu katika ni ile ileeee.Akatamke hivyo mwingine anaejulikana ni msoma namba(upinzani) uone kama utalala kwako siku hiyo.Mimi sio.daktari ila kwa idadi ya mimba ulizochpoa zinazofahamika na zisizofahamika uja uzito tena kwako sahau.Mungu atawahangaikia wenye uhitaji wa kweli wa watoto na sio nyie tena.Ponda starehe ndicho ulichobaki nacho na siku hazigandi mategemeo kutokana na umri yataanza kupotea.
 
Liusemi la kipumbavu kabisa hilo.

Kioo cha jamii my black azz....
Shida ni kwamba hamuelewi maana ya kioo cha jamii. huo usemi unamaana msanii anareflect jamii yake. kwasababu anachokifanya ni artistic reflection of social reality. Ndo kusema kwa kumuangalia utaiona jamii anayotoka sio hivyo mnavyoelewa nyie hiyo literal meaning kwamba ye ndio kioo jamii imuangalie.
'Ninawasiwasi sijaeleweka'
 
Mimba gani inafanywa kama Mwenge wa uhuru kila mtu anaishika, Gardner alishika, ommy dimpoz alishika, bikra wa kisukuma alishika na wengine kadhalika..... Ili iweje? Japo sijawahi kuamini kama kweli ile ilikua mimba make ilitoka soon baada ya shika adabu yako ya nay wa mitego kutoka
Anyway pole zake, muda ukifika ataitwa mama
 
Shida ni kwamba hamuelewi maana ya kioo cha jamii. huo usemi unamaana msanii anareflect jamii yake. kwasababu anachokifanya ni artistic reflection of social reality. Ndo kusema kwa kumuangalia utaiona jamii anayotoka sio hivyo mnavyoelewa nyie hiyo literal meaning kwamba ye ndio kioo jamii imuangalie.
'Ninawasiwasi sijaeleweka'
Nakubaliana na wewe. Wema & Co. wanaakisi tabia tulizonazo. Nashangaa watu wanamponda, au kwa vile kajianika? After all yeye si msanii, famout...lazima mambo yake mengi yatajulikana, ANAAKISI TABIA ZA WENGI WETU!!
 
Wanawake wengi huwa wanatoa,hasa Waliopo vyuo vikuu nk!Madaktari wanajua vyema huu mchezo.Wanaotoa kwa genuine reason ni wacheche sana.
 
View attachment 350824

Katika Mahojiano yake na Waandishi wa Kampuni ya New Habari(2006) Ltd,Wema Sepetu anaanza kwa kusema

"Nilipokuwa na uhusiano na Marehemu Kanumba,nikiwa naishi na wazazi wangu,niliwaza kama wakijuwa nina Mimba wangejisikiaje?Na pia sikuwa tayari kwa kipindi hicho kuwa na mimba,na utoto pia ulichangia,nikatoa"

"Wanaume wote waliofuata hapo akiwemo Chalz Baba,Jumbe na Diamond sikuweza kupata huo ujauzito wala aina yoyote ya kichefuchefu,Lakini nilipoachana na Diamond alipokuwa na mwanamke mwingine nikasikia amepata ujauzito,kiukweli niliumia sana,nikafikiria kwamba mimi ndiye nina tatizo au ile mimba niliyotoa wakati wa Kanumba ilikuwa ndio pekee niliyojaliwa na Mungu,baada ya hapo nikaanza kumsumbua Daktari wangu,daktari alinipa dawa mbalimbali na kuweka sawa viamsho mwilini,lakini dawa hizo zikaishia kuninenepesha tu"

Wema Sepetu anaendelea kusema
"Wakati nikiwa na Idriss,nikashangaa baadhi ya watu wakaniambia nina mimba,lakini sikuamini nikaenda kupima nikiwa na lengo la kusafisha kizazi lakini daktari akaniambia vipimo vinaonyesha kweli nina ujauzito.Nilifikia uamuzi wa kusafisha kizazi sababu nilichoka kuitwa mgumba"

"Baada ya kukugundulika ujauzito huo nikapiga picha na kuzituma kwenye mitandao nikionyesha tumbo langu,ili kuwaonyesha watu kuwa si mgumba ambapo wengine walishika tumbo langu wakifurahia,hii ikanifanya kuwa na furaha na mpenzi wangu Idriss"

"Siku moja nilipoamka nilikwenda asubuhi kwa haja ndogo,cha ajabu nikahisi kama kitu kimeshuka na nilipoangalia nikaona damu.Hapo hapo nikampigia Mama na kumwambia mimba imetoka,alilonijibu ni kwamba alinambia mimba haitangazwi.Maneno hayo alishaniambiaga kwamba nisitangaze mimba niliyokuwa nayo lakini sikumsikiliza kwa kuwa nilitaka kuwaziba midomo watu waliokuwa wakinitupia maneno ya matusi."

"Niliumia sana ilipotoka ile mimba,kwani ni kitu nilichokuwa nakitaka kwa muda mrefu,nimechoka kuitwa mgumba,lakini sijakata tamaa najua ipo siku nitapata tena"
Ww si muuaji kabisa?au kutoa mimba unadhan ni vp?.Bado laana zinakutafuna
 
Ya kwangu ni original njoo nikupe
 
Shangazi yangu alinionya nikiwa bado mdogo "mwanangu kamwe usiwahi kutoa mimba maishani mwako, mimi shangazi yako nina kila kitu. Maisha mazuri, kazi ya maana UN, Mali nyingi ila sina raha sababu sina mtoto. Nilitoa mimba nyingi sana zsababu usichana wangu nilikua kati ya wale air-hostess wa mwanzo na kwa kazi ile hatukuruhisiwa kuwa na watoto. Kila siku sasa natukanwa ZAA WAKO na wanawake wa nje wa mume wangu"

Mpaka leo huwa namuonea huruma sana shangazi, mumewe ana timu ya mpira huko mitaani na wanawake watano tofauti. Ila ndio alitupa goodtimes ile mbaya. Maholiday na pocketmoney ya shule ilikua unlimited kwake.
 
dah poleyake tu...keli kujifunzakwamengi...na tunapata matokeo ya metndoyetu...tunajifunzakwamakosa ya wengine pia
 
View attachment 350824

Katika Mahojiano yake na Waandishi wa Kampuni ya New Habari(2006) Ltd,Wema Sepetu anaanza kwa kusema

"Nilipokuwa na uhusiano na Marehemu Kanumba,nikiwa naishi na wazazi wangu,niliwaza kama wakijuwa nina Mimba wangejisikiaje?Na pia sikuwa tayari kwa kipindi hicho kuwa na mimba,na utoto pia ulichangia,nikatoa"

"Wanaume wote waliofuata hapo akiwemo Chalz Baba,Jumbe na Diamond sikuweza kupata huo ujauzito wala aina yoyote ya kichefuchefu,Lakini nilipoachana na Diamond alipokuwa na mwanamke mwingine nikasikia amepata ujauzito,kiukweli niliumia sana,nikafikiria kwamba mimi ndiye nina tatizo au ile mimba niliyotoa wakati wa Kanumba ilikuwa ndio pekee niliyojaliwa na Mungu,baada ya hapo nikaanza kumsumbua Daktari wangu,daktari alinipa dawa mbalimbali na kuweka sawa viamsho mwilini,lakini dawa hizo zikaishia kuninenepesha tu"

Wema Sepetu anaendelea kusema
"Wakati nikiwa na Idriss,nikashangaa baadhi ya watu wakaniambia nina mimba,lakini sikuamini nikaenda kupima nikiwa na lengo la kusafisha kizazi lakini daktari akaniambia vipimo vinaonyesha kweli nina ujauzito.Nilifikia uamuzi wa kusafisha kizazi sababu nilichoka kuitwa mgumba"

"Baada ya kukugundulika ujauzito huo nikapiga picha na kuzituma kwenye mitandao nikionyesha tumbo langu,ili kuwaonyesha watu kuwa si mgumba ambapo wengine walishika tumbo langu wakifurahia,hii ikanifanya kuwa na furaha na mpenzi wangu Idriss"

"Siku moja nilipoamka nilikwenda asubuhi kwa haja ndogo,cha ajabu nikahisi kama kitu kimeshuka na nilipoangalia nikaona damu.Hapo hapo nikampigia Mama na kumwambia mimba imetoka,alilonijibu ni kwamba alinambia mimba haitangazwi.Maneno hayo alishaniambiaga kwamba nisitangaze mimba niliyokuwa nayo lakini sikumsikiliza kwa kuwa nilitaka kuwaziba midomo watu waliokuwa wakinitupia maneno ya matusi."

"Niliumia sana ilipotoka ile mimba,kwani ni kitu nilichokuwa nakitaka kwa muda mrefu,nimechoka kuitwa mgumba,lakini sijakata tamaa najua ipo siku nitapata tena"
Hivyo huyu hajui kutoa mimba ni kosa la jinai? Mashtaka yake yana ukomo wa muda?
 
Back
Top Bottom