Wema Sepetu nakupenda sana na huu ndio ushauri wangu

Angekuwa hana effect yule mama Suluhu Hassan asingezunguka naye kwenye kampeni nzima akimtumia Wema Sepetu kama main striker wake, pamoja na madudu ya Wema Sepetu but usiundermine influence yake
 
Mwache aende bana. Ila mshauri apitie kwa nakaaya amuazime zile gwanda zake za harakati za kusaka cheo.
 
Nchi hii mtu ana uhuru wa kuchagua anakotaka kujiunga kwa chama chochote cha siasa, akina Lowasa, Sumawe Kingunge walihamia CDM kwa matumaini ya kushika dola wakabaki patupu, Wema naye atabaki hivo tu.
Yaani kwa ujumla katika maisha mwanangu asiingie kwenye kundi la wananasiasa waishio kwa matumaini ya aliyejuu kuwapa vyeo bali akazane na taaluma(professional)
 
Nia hasa ya chama cha siasa ni kushika dola kwa kuwa na wanachama wengi na kupata kura nyingi zinazotosha. Sasa chama kikatae wanachama? [emoji120] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Unamshaurije mwenzio ungali muoga hivyo? Unatumia fake ID huku ukijifanya ni mkereketwa wa ccm! Hivi hujui tunatumia fake id kutokana na ubaya wa ccm?
 
Wema usiingie kwenye mchezo wa siasa ni mchafu hasa watakumaliza siasa waachie wanasiasa wenyewe huwezi kabisa huyo steeve asikutumia kupiga pesa utapotea kabisa
 
Wema keishahama nimemuona kwenye taarifa ya itv leo yupo front bench na mbowe kwenye kesi ya kuishtaki jamhuri
 

I biliv wanajua impact ya Wema ndio Maana wamemchukua lazima wanajua aliwafinya wapi 2015 let's wait and see!!
 
Ccm ni chama kikubwa sana. Kaondoka lowasa na kundi la maelfu ya watu sembuse wema sepetu watu atakaoondoka nao hata kwenye bajaji hawaenei
 
But one can always change back and forth. Sheria hazikatazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…