Wema Sepetu nakupenda sana na huu ndio ushauri wangu

Wema Sepetu nakupenda sana na huu ndio ushauri wangu

Please Wema, Please Wema narudia tena, naomba unisikilize katika dakika hizi za mwisho usiende Chadema. Tafadhali, usiende Chadema. Nakijua sana hicho chama unaenda kupotea kabisa... Katika kipindi hichi bado una hasira za Makonda usithubutu kutoka CCM.... Unamarafiki wengi CCM hivyo ni rahisi kusurvive kuliko huko..

Usifanye maamuzi saizi una hasira. Nakupenda sana sana, naomba usiende CDM
Upuuzi kama huu uliandika kule celebrates forum, mods waunganishe uzi huuna huo tafadhali.
 
Mwenzio ana uhakika wa viti maalum 2020
Mwache aende akatafute maisha
 
yani avumilie shida hadi 2025? una mkataba na mungu?
 
Wema eeh wewe nenda popote unapotaka ila kumbuka hii_Mtu yeyote akikutumia we mtumie zaidi ili mkiachana isiwe kesi. Binadamu wanapenda sana kutumia wenzao usiregee.
 
Nimeufurahia ujumbe wake kwa ccm tu. Hamna shukrani. Ngoja niwaambie dunia mapema kuwa ccm, hawanaga shukrani, hawaangalii mchango wako kwao baada ya kuingia ndani. Nadhani hili ndilo alilotaka sote tujue

kwenye siasa hakuna shukrani yupo wap Dr Slaa
 
Naona kama ccm walimnima viti maalum huenda akapata ubunge kupitia cdm
 
Nimeona kuna kila dalili zote za Wema Sepetu kwenda CHADEMA... Wema nimekuwa fan wako kwa muda mrefu sana, nakupenda sana na hata ningependa uwe mke wangu sema ndio hivyo tu.... Naomba nikupe ushauri wangu tafadhali usiende Chadema. Pamoja na matatizo ya utawala huu CCM bado ni chama kikongwe na bado kuna fursa kwako ndani ya CCM kuliko CHADEMA

Hichi ni kipindi cha mpito, 2025 mambo yatakuwa sawa Madame. Tafadhali sana, nakijua CHADEMA, nakijua CCM. Usichague kwenda CHADEMA na kuacha CCM.... Makonda amekuja na ataondoka na atakiacha CCM. Wako wapi wakina Mulongi, wakina Nyalandu.

Vuta subira Mamaa, nakupenda sana. Usiondoke CCM... Mimi ni mkosoaji mkubwa sana wa CCM kwa sasa, ila siwezi kuondoka bali navuta muda 2025 nijipange tena
Poole umechelewa Baku na uoga wako iwe kingunge sembuse wewe..is to she we mchumia tumbo
 
Nimeona kuna kila dalili zote za Wema Sepetu kwenda CHADEMA... Wema nimekuwa fan wako kwa muda mrefu sana, nakupenda sana na hata ningependa uwe mke wangu sema ndio hivyo tu.... Naomba nikupe ushauri wangu tafadhali usiende Chadema. Pamoja na matatizo ya utawala huu CCM bado ni chama kikongwe na bado kuna fursa kwako ndani ya CCM kuliko CHADEMA

Hichi ni kipindi cha mpito, 2025 mambo yatakuwa sawa Madame. Tafadhali sana, nakijua CHADEMA, nakijua CCM. Usichague kwenda CHADEMA na kuacha CCM.... Makonda amekuja na ataondoka na atakiacha CCM. Wako wapi wakina Mulongi, wakina Nyalandu.

Vuta subira Mamaa, nakupenda sana. Usiondoke CCM... Mimi ni mkosoaji mkubwa sana wa CCM kwa sasa, ila siwezi kuondoka bali navuta muda 2025 nijipange tena
Unangoja 2025 ujipange upya???? Kiulaji nini?
 
Nyie mnataka kumfunga wema kwa kosa asilo litenda,,,kwa ccm hii ya visasi,wacha ahame awe salama,,,maana akibaki atafungwa tuu,amri kutoka juu zitamfunga.

AMESHA HAMA,KAJITAMBUA
 
Mwache aende apendako hata CUF. Vyote vyama vya siasa. Kwani yeye nani na hi i ndiyo demokrasia mtu ana uhuru wa kwenda apendako. Na dini akitaka badili ruksa
 
Back
Top Bottom