Upuuzi kama huu uliandika kule celebrates forum, mods waunganishe uzi huuna huo tafadhali.Please Wema, Please Wema narudia tena, naomba unisikilize katika dakika hizi za mwisho usiende Chadema. Tafadhali, usiende Chadema. Nakijua sana hicho chama unaenda kupotea kabisa... Katika kipindi hichi bado una hasira za Makonda usithubutu kutoka CCM.... Unamarafiki wengi CCM hivyo ni rahisi kusurvive kuliko huko..
Usifanye maamuzi saizi una hasira. Nakupenda sana sana, naomba usiende CDM
Kweli kabisaWema 'aitetemesha' CCM
Suala la vyeti sahau maana lilikokua linaenda ni kubaya, lilianza kuchokonoa mpaka PHDs za watuCCM bwana. Ha ha haaaaaa.. Vyeti mmefikia wapi?
She is just a toilet paperWaliondoka kina lowasa, kigunge, sumaye iwe huyo wema sepetu.....who is wema mbele ya ccm
Nimeufurahia ujumbe wake kwa ccm tu. Hamna shukrani. Ngoja niwaambie dunia mapema kuwa ccm, hawanaga shukrani, hawaangalii mchango wako kwao baada ya kuingia ndani. Nadhani hili ndilo alilotaka sote tujue
Poole umechelewa Baku na uoga wako iwe kingunge sembuse wewe..is to she we mchumia tumboNimeona kuna kila dalili zote za Wema Sepetu kwenda CHADEMA... Wema nimekuwa fan wako kwa muda mrefu sana, nakupenda sana na hata ningependa uwe mke wangu sema ndio hivyo tu.... Naomba nikupe ushauri wangu tafadhali usiende Chadema. Pamoja na matatizo ya utawala huu CCM bado ni chama kikongwe na bado kuna fursa kwako ndani ya CCM kuliko CHADEMA
Hichi ni kipindi cha mpito, 2025 mambo yatakuwa sawa Madame. Tafadhali sana, nakijua CHADEMA, nakijua CCM. Usichague kwenda CHADEMA na kuacha CCM.... Makonda amekuja na ataondoka na atakiacha CCM. Wako wapi wakina Mulongi, wakina Nyalandu.
Vuta subira Mamaa, nakupenda sana. Usiondoke CCM... Mimi ni mkosoaji mkubwa sana wa CCM kwa sasa, ila siwezi kuondoka bali navuta muda 2025 nijipange tena
Unangoja 2025 ujipange upya???? Kiulaji nini?Nimeona kuna kila dalili zote za Wema Sepetu kwenda CHADEMA... Wema nimekuwa fan wako kwa muda mrefu sana, nakupenda sana na hata ningependa uwe mke wangu sema ndio hivyo tu.... Naomba nikupe ushauri wangu tafadhali usiende Chadema. Pamoja na matatizo ya utawala huu CCM bado ni chama kikongwe na bado kuna fursa kwako ndani ya CCM kuliko CHADEMA
Hichi ni kipindi cha mpito, 2025 mambo yatakuwa sawa Madame. Tafadhali sana, nakijua CHADEMA, nakijua CCM. Usichague kwenda CHADEMA na kuacha CCM.... Makonda amekuja na ataondoka na atakiacha CCM. Wako wapi wakina Mulongi, wakina Nyalandu.
Vuta subira Mamaa, nakupenda sana. Usiondoke CCM... Mimi ni mkosoaji mkubwa sana wa CCM kwa sasa, ila siwezi kuondoka bali navuta muda 2025 nijipange tena
HahahhaaWaliondoka kina lowasa, kigunge, sumaye iwe huyo wema sepetu.....who is wema mbele ya ccm