Wema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu

Alafu una kipato cha sh ngapi kwa mwezi......... LOL
 
Wapo wanaonunua hata zaidi ya hapo, ila si kwa anavyomfanya yule dogo mpaka amekuwa anajichekesha hovyo eti naye mchekeshaji!
Anamnyooosha jamaa si yuko huko buhlyankulu bna wacha pesa zitendekeee
 
Hatuwezi jua itakuwa labda ana vitega uchumi vingi na miradi mikubwa duh! Kweli mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake
 
Kwa mwizi anatumia tsh milioni 4.8 nywele tu
Chakula kwa siku 50,000 yaani kwa mwezi 1,500,000
Hii pesa hadi sasa si angekuwa kajenga nyumba ndani ya miaka 2
 
Kwa hiyo blog au sijui application ya simu aliyoizindua Nape na kuisifia sana ilikuwa ni kwa ajili ya kuwaeleza (kuwaupdate) Watz mambo kama haya!?

Nahisi ndivyo inavyopaswa kuwa mkuu
 
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] kumbe hizo ndo wanaziita weaving original???
View attachment 351380 View attachment 351380 View attachment 351381
kwa nywele zipi labda alizonazo hizi hahahahahahahahaha akawadanganye makwao unyaturuni
 

Mwambie akiwa bibi atakuwa mrembo pale atakapokuwa anasuka mikeka na kukosa hata wajukuu wa kumnunulia ugolo
 
Kwa hiyo blog au sijui application ya simu aliyoizindua Nape na kuisifia sana ilikuwa ni kwa ajili ya kuwaeleza (kuwaupdate) Watz mambo kama haya!?
Nahisi hii itakuwa kwenye app yake [emoji15] [emoji15] [emoji41]
 
Jaman kwani zile ni nywele zake au wig lake
 
Hili swali linanigombanishaga na wife. Labda wanamaanisha ni nywele za watu kabisa.

Siku hizi ameshajua akiweka weaving kichwani sina comment yoyote zaidi ya hujapendeza, kwa hiyo inabidi asiniulize tu kama amependeza au la!

Me mkewangu alikua akiweka minywele hiyo hata kama tulitaka kwenda out naahirisha....sasa hivi haweki tena.
 
Hongera sana wema sepetu kwa kutumia zaidi ya 6.3m kwa mwezi nywele ni 4.8m na chakula 1.5m bado mafuta ya gari.
 
kuna mtu mmoja humu ndani alishawahi sema mara nyingi matumizi yanapozidi uwezo mwili lazima utumike tuu.hivyo hata si mshangai huyu mwanamke na haya matumizi aliyoorodhesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…