Wema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu

Hili swali linanigombanishaga na wife. Labda wanamaanisha ni nywele za watu kabisa.

Siku hizi ameshajua akiweka weaving kichwani sina comment yoyote zaidi ya hujapendeza, kwa hiyo inabidi asiniulize tu kama amependeza au la!

Wanawake wengi sana kwa sasa wameamua kuweka dreadlocks.... Wanaonekana so natural and beautiful indeed
 

Attachments

  • images-13.jpeg
    7.9 KB · Views: 46
  • images-8.jpeg
    9.9 KB · Views: 52
  • images-16.jpeg
    4.5 KB · Views: 38
  • images-5.jpeg
    8 KB · Views: 40
  • images-19.jpeg
    7.9 KB · Views: 41
  • images-4.jpeg
    11.3 KB · Views: 40
Mmmh hivi KUSHONEA WEAVING ORIGINAL,MINYWELE YA BANDIA NDIO UZURI?
 
Kwa hiyo blog au sijui application ya simu aliyoizindua Nape na kuisifia sana ilikuwa ni kwa ajili ya kuwaeleza (kuwaupdate) Watz mambo kama haya!?
Ndio hivyo, kila ujumbe utakaomtumia ata ka ni tusi, utakuwa ushamlipa pesa na ataendelea kuitumia
 
Kama alidanganya kanunua nyumba ya milioni 400,anashindwa nini kudanganya nywele..... Huyu dem ana PhD ya uongo
 
Kama alidanganya kanunua nyumba ya milioni 400,anashindwa nini kudanganya nywele..... Huyu dem ana PhD ya uongo

Wenye akili tulijiuliza....huyu ana shughuli gani hasa za kumwingizia pesa kiasi cha kujenga nyumba ya gharama kama hiyo?
 
Hatuwezi jua itakuwa labda ana vitega uchumi vingi na miradi mikubwa duh! Kweli mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake
Naam, yaonekana huyu binti huyu anayo miradi mikubwa saaana ya kuuza kila kitu ili apate pesa ya matumizi! Lakini kuna uhalali wa katika hiyo miradi? Imerasmishwa? Analipa kodi ya JPM?!
 
Aaha kumbe m1.2 nljua sijui shngp huko bas kasema hivyo ionekane kuuubwa mwenzke rihanna anatumia zaid ya m90 kwa wiki moja kwenye nywele tu na hajigamb hvyo
 
Umeme wa wizi, nyumba ya kupanga, kukwepa kodi. Sanaa hadi nje ya video.
 
Nywele zake au za maiti wa india?

Hakika baniani mbaya kiatu chake dawa.

Ni kweli maana nywele zake itakuaje tena azinunue? Ila huu n utumwa yaan unanunua nywele za maiti afu hata plot hana? Mathalani ni kweli anatumia 1.2 per week ina maana mwezi ni 4.8m kwa mwaka ni 57.6m hapo c ananunua plot salasala baada ya miaka 5 anamiliki bangalooo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…