Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nywele halisi za wabrazil au wahindi,'Weaving original' ndo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nywele halisi za wabrazil au wahindi,'Weaving original' ndo nini?
Hili swali linanigombanishaga na wife. Labda wanamaanisha ni nywele za watu kabisa.
Siku hizi ameshajua akiweka weaving kichwani sina comment yoyote zaidi ya hujapendeza, kwa hiyo inabidi asiniulize tu kama amependeza au la!
Sio utani ana juhudi ya kuwatunga.Bongo muvi ya mapaja inalipa.
anajidanganya mwenyewe ata mdanganya nani?Milioni 1.2 TZS ,huu ni uongo wa mchana kweupeeee
Kwani alikuwa anaonyeshwa risiti? atakuwa aliingizwa tu kulipa bill za fix ndio kilikuwa kipato chake madame kwa wiki.Ni ukweli, kama huamini kamwulize Idris
Yeees,Swali zuri na la Msingi kabisa.Nini chanzo cha mapato yake???
Kama ya Malaysia bloody shwine.Afu augue tuanze kuombana michango ya matibabu India, hakiyanani jibu nitakolompa huyo mchangishaji atatamani ardhi ipasuke au awe ndani ya ndege afu ipotee angani.
Wwe una uhakika mpaka unasema hvyoNi ukweli, kama huamini kamwulize Idris
Ndio hivyo, kila ujumbe utakaomtumia ata ka ni tusi, utakuwa ushamlipa pesa na ataendelea kuitumiaKwa hiyo blog au sijui application ya simu aliyoizindua Nape na kuisifia sana ilikuwa ni kwa ajili ya kuwaeleza (kuwaupdate) Watz mambo kama haya!?
Kama alidanganya kanunua nyumba ya milioni 400,anashindwa nini kudanganya nywele..... Huyu dem ana PhD ya uongo
Naam, yaonekana huyu binti huyu anayo miradi mikubwa saaana ya kuuza kila kitu ili apate pesa ya matumizi! Lakini kuna uhalali wa katika hiyo miradi? Imerasmishwa? Analipa kodi ya JPM?!Hatuwezi jua itakuwa labda ana vitega uchumi vingi na miradi mikubwa duh! Kweli mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake
Duh! Haaahaaaa...Afu augue tuanze kuombana michango ya matibabu India, hakiyanani jibu nitakolompa huyo mchangishaji atatamani ardhi ipasuke au awe ndani ya ndege afu ipotee angani.
Nywele zake au za maiti wa india?
Hakika baniani mbaya kiatu chake dawa.