Wema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu

Wema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu

Alidanganya gari
Alidanganya ananyumba ya m400
Alidanganya anamimba
Amedanganya anatumia 5m kwa nywele tu ndan ya mwez
Haahaha
Nimependa uigizaj natamani usanii
 
Mbona nywele sio zake ni za marehemu wa India au mimi sioni vizuri
 
soko linyewe limemdodea labda alimaanisha 120,000 kwamwezi
 
Aweke hakiba ya maneno..siku akipata cancer ya makalio(Mungu amuepushe) asije kurudi kwa wananchi na kutembeza bakuli tutamsaidi ila baada ya kumsuta na kumsimanga sana
 
Nataka nimjue alie wadanganya wanawake weusi kuwa nywele za kubandika ni urembo kwao,.tena unajisifia kabisa kutumia pesa hizo kwaajili ya kununua nywele kiruy.ni bora hata angesema anatumia hyo pesa kuzihudumia nywele zake za asili.
 
Si mlikamatwa mnaiba umeme nyie...........Weeema Weeema ku....an...ooko
 
Si mlikamatwa mnaiba umeme nyie...........Weeema Weeema ku....an...ooko
Kweli mkuu umenikumbusha kitu, yaani mtu anashindwa kulipia hata umeme , Leo hii eti anatumia 1.2m per week kutengeneza nywele?
 
Back
Top Bottom