Wema sepetu ndani ya police kawe,aswekwa lok up

Wema sepetu ndani ya police kawe,aswekwa lok up

sasa wema ni nani embu tutoleeni uo ujinga hapa!watu kibao tu wanakamatwa mbona auandikigi?
 
Kama ni Hotel Mediterano ile ya baharini Kawe namuunga mkono Wema hata kabla sijasikiliza kesi coz utawala wa pale wana nyodo sana pale, kuanzia yule mzungu mwanamke mmiliki. mi mwenye siku moja kidogo niwatandike makonde wale. Msianze kumhukumu Wema hata hamjajua mazingira ya pale. Good job Wema.

hata kama, sheria hairuhusu kupiga mkuu
 
Back
Top Bottom