Wema Sepetu Ni Mja Mzito...Mimba Amepata Kwa Nani?!?

ina maana mimba imepotea ghafla au?
Mana naona anatangaza kipara tu baada ya kutangaza mtoto
 
Labda atazaa hapo anataka umaarufu tu akiona haongelewiii tutashtukiaa kaandikaa imetokaa chezeya Wemaa

Huyo wema hyo mimba tokea 2012 naona anaizungumzia, kutwa instagram kuweka picha za maembe mabich eti anawarusho roho akina Dinazarde , cha kushangaza had kesho mimba wala mtoto havionekan
 
Last edited by a moderator:
Huyo wema hyo mimba tokea 2012 naona anaizungumzia, kutwa instagram kuweka picha za maembe mabich eti anawarusho roho akina Dinazarde , cha kushangaza had kesho mimba wala mtoto havionekan

Amtishee nyauuuuu sie hatuzalii choon wala bafunii ni mfyooootoo tu ye asubiri mpaka Yesu arudiii
 
Last edited by a moderator:
Amtishee nyauuuuu sie hatuzalii choon wala bafunii ni mfyooootoo tu ye asubiri mpaka Yesu arudiii

Ndomo nae simuelew mademu wote hao aliowapitia hata mtoto hakuna, au mbegu zake za kichina??
 
Labda atazaa hapo anataka umaarufu tu akiona haongelewiii tutashtukiaa kaandikaa imetokaa chezeya Wemaa

Hivi utajiri wake ni upi mana tajiri gani kapanga nyumba pia wanaposema tajiri ana asset gani even kiwanja, asset yke ni mbunye nayo imekosa soko wahongaji wanataka vi2 fresh
 
Eti ana pesaa kuwazid wenginee,??

Huyu mleta mada mpambe eti tajiri kweli utajiri unapimwa kwa gari na wapambe nyamba....fu zke.hana chake hpo gari kadi siajabu hana cjui nyumba ya 400m kumbe kapanga,anakaribia kurudi kwao mda c mrefu huyo
 
mi sijaelewa, mleta uzi umelewa, unaulizaje tena ya nani na umesema mimba ya wema.ama ipo kwa mtu mwingine pia hyo mimba?
 
You do not have the security clearance to know the answer to that question.
 
mi sijaelewa, mleta uzi umelewa, unaulizaje tena ya nani na umesema mimba ya wema.ama ipo kwa mtu mwingine pia hyo mimba?

Leo umekuja taratibu hahhhha aiseeee
 
Kama ya kweli huyo mtoto sipati picha atakavyokuwa kicheche maana baba na mama hawajatulia
 
SWALI......Mimba amepata kwa nani ?

JIBU.........Share holders (wadau).
 
via vya uzazi vilishagoma kupokea sperm za aina zozote zile.

madaktari nadhani wamenielewa kiundani.
 
via vya uzazi vilishagoma kupokea sperm za aina zozote zile.

madaktari nadhani wamenielewa kiundani.

Labda Damond ana ejaculate premature sperm!

Au dem mwenyewe Ovulation bado majanga !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…