Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda atazaa hapo anataka umaarufu tu akiona haongelewiii tutashtukiaa kaandikaa imetokaa chezeya Wemaa
Huyo wema hyo mimba tokea 2012 naona anaizungumzia, kutwa instagram kuweka picha za maembe mabich eti anawarusho roho akina Dinazarde , cha kushangaza had kesho mimba wala mtoto havionekan
Amtishee nyauuuuu sie hatuzalii choon wala bafunii ni mfyooootoo tu ye asubiri mpaka Yesu arudiii
Ndomo nae simuelew mademu wote hao aliowapitia hata mtoto hakuna, au mbegu zake za kichina??
Labda atazaa hapo anataka umaarufu tu akiona haongelewiii tutashtukiaa kaandikaa imetokaa chezeya Wemaa
Eti ana pesaa kuwazid wenginee,??
mi sijaelewa, mleta uzi umelewa, unaulizaje tena ya nani na umesema mimba ya wema.ama ipo kwa mtu mwingine pia hyo mimba?
Leo umekuja taratibu hahhhha aiseeee
leo siku ya sabato bana, afu mi pia nimegundua nakosa bahati kwakujifanya bandidu wakati nna moyo pia...
via vya uzazi vilishagoma kupokea sperm za aina zozote zile.
madaktari nadhani wamenielewa kiundani.