Kwa mara ya kwanza kwama najitokeza kuuliza swali ambalo nahisi majibu ninaweza kuwanayo ila labda sijajua kuwa haya nilionayo ndio majibu sahihi.
Siunakumbuka enzi za soma hadithi hii kisha jimu maswali hapo chini leo hii nataka kukuja hivi huyu Wema Sepetu ni nani? kwamaana kuwa anafanyanini hapa nchini hadi kuwa mtu maarufu hivyo. Hadi kuwa na mashabiki ambao wameapa kumpenda na kusapoti kila anachokifanya hata kama ni Negative.
Mara nyingi huwa mbali ya wale wanamfuatilia kupitia magazeti ya udaku uswazi ndio wengi hawa kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twita na Instagram kuna vikundi na watu mmoja mmoja wanao simama upande wawema kwamajiana tofauti.