mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Beautiful onyinye imegina ya zari ndio maneno, safari hii sijui atamwibua nani maana aslay kagoma, mie naona arudi akamalizie shule ili apewe ubunge wa vitand maalum kama kamata ya vic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikikujibu ndio utaendelea kuuliza
na nikikujibu hapana utaendelea kuuliza
haya niahidi nikikujibu hutoendelea kuuliza ili nikujibu
acha mambo ya KIKE jamaa unatutia aibu WANAUME wenzako
Habare ya mjini Zarinah ,huyo kidampa tupa kuleee
Aisee watu kimyaaa
Hahahaa tujibu basi na wengine tujue pia
Habare ya mjini Zarinah ,huyo kidampa tupa kuleee