Wema Sepetu ni nani mpaka kuwa na ushawishi namna hii?

ruanganyi

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
115
Reaction score
34

Kwa mara ya kwanza kwama najitokeza kuuliza swali ambalo nahisi majibu ninaweza kuwanayo ila labda sijajua kuwa haya nilionayo ndio majibu sahihi.

Siunakumbuka enzi za soma hadithi hii kisha jimu maswali hapo chini leo hii nataka kukuja hivi huyu Wema Sepetu ni nani? kwamaana kuwa anafanyanini hapa nchini hadi kuwa mtu maarufu hivyo. Hadi kuwa na mashabiki ambao wameapa kumpenda na kusapoti kila anachokifanya hata kama ni Negative.

Mara nyingi huwa mbali ya wale wanamfuatilia kupitia magazeti ya udaku uswazi ndio wengi hawa kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twita na Instagram kuna vikundi na watu mmoja mmoja wanao simama upande wawema kwamajiana tofauti.
 
Ushawahi kumla.

nikikujibu ndio utaendelea kuuliza
na nikikujibu hapana utaendelea kuuliza
haya niahidi nikikujibu hutoendelea kuuliza ili nikujibu
 
Ni maarufu kwa kuwa hata wewe humfatilia mambo yake ndo maana ukaanzisha uzi wake hapa!
 
Afu hujajuwa hao wanaojidai timu wema most of them hawana kazi za maana na wengi ni foolish age pia wengine bendera fata upepo hawajielewi kifupi
Wewe hushangai yeye Dada mzuri kazi Zero
Kama uliangalia kile kipindi chake cha eatv anaulizwa tufanye business gani? Anajibu nataka party
Sasa hapo unadhani yuko sawa
 
Mungu hakuumba mtu mbaya duniani,uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu,nyie mnasema sijui wema mbaya zari mzuri au zari mbaya wema mzuri mlishirikiana na mungu kuwaumba?mbona mnapenda kukosoa sana

miili yenyewe inayosifiwa ni mavumbi tu mwisho wa siku kila mtu ni wa kufa tu,mambo wanatofanya hawa wasanii ni kinyume na anavyotaka Mungu ni kuwaombea tu wajitambue watulie,coz kila mtu atabeba mzigo wake wa dhambi,hii miili tunayojidaia hapa duniani ni mavumbi yaliyopuliziwa pumzi.
 
Ndo ujishange mie tu sikujui itakuwa BOSS WEMA LE MADDAME???????????????????

kama unataka kunijua unaniambia tu au unaniuliza huwa najibu kwa kina dada kama nyinyi ndo maradhi yangu hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…