Amejaza kundi lake la kutukana tu, ila usiposoma shule kwenda juu ni udaku life ndio anayotegemea.
Nasubiria kuona siku moja wanamchokonoa mtu na anawapeleka mbali wakome na midomo michafu.
Pia ni alimuacha boyfi umri mdogo ili atoke na mababu wazee wa TZ anakula pesa zao aishi kitajiri. Na majuto juu as nyota ya aliyezani anamnyonya yeye kumbe Mungu ndie ajuae.
Nimejuaje haya ni kwasababu na follow wasanii niwapendao na nakutaga maneno machafu kwa comments hadi naishia haraka.
Miss TZ 06, mswazi, hajiheshimu kuacha kukemea jina lake kutumika kutukana watu wasiowajua mitandaoni, bagamoyo trips lazima