Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ukistaajabu ya WEMA utayaona wa Prezoo kurudiana na Chaga barbie
Mi naona sawa tuu yeye kusema hivyo sababu watu walio mgegeda watajaza nusu ya uwanja halafu nusu nyingine ndo ndugu,jamaa na washabiki wake!
Wema aachi vituko, Siku za Karibuni Wema amekaririwa na Gazeti moja la Udaku hapa Tanzania aka Bongo akisema kuwa Akifa yeye Basi Aagwe uwanja wa Taifa kwa vile jina lake ni kubwa Ndani na Nje ya Tanzania hivyo pale Leaders walipozoelea kuaga Watu maarufu hapata Tosha ,Alisema uwanja wa taifa utampaka kila mtu chance ya kumuaga....Mweeeeee Makubwa
Kwa bongo hiyo inawezekana,kwani watu waliokosa kazi ni wengi.Hata mr.President hayuko busy sana.
Hizi sifa nyingine zimepitilza,kwa kipi cha maana alichofanya akajaze uwanja wa watu 60k
Anaweza kujaza hata uwanja wa sabasaba wabongo wengi ni wazuraji na majobless.
Anaweza kujaza hata uwanja wa sabasaba wabongo wengi ni wazuraji na majobless.