Wema Sepetu: ''nikifa mimi leo au kesho niagwe uwanja wa taifa"

Wema Sepetu: ''nikifa mimi leo au kesho niagwe uwanja wa taifa"

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Wema aachi vituko, Siku za Karibuni Wema amekaririwa na Gazeti moja la Udaku hapa Tanzania aka Bongo akisema kuwa Akifa yeye Basi Aagwe uwanja wa Taifa kwa vile jina lake ni kubwa Ndani na Nje ya Tanzania hivyo pale Leaders walipozoelea kuaga Watu maarufu hapata Tosha ,Alisema uwanja wa taifa utampaka kila mtu chance ya kumuaga....Mweeeeee Makubwa
 
Pu........f . ashajiona shujaa. Wasanii wa kibongo bwana.
 
Wema aachi vituko, Siku za Karibuni Wema amekaririwa na Gazeti moja la Udaku hapa Tanzania aka Bongo akisema kuwa Akifa yeye Basi Aagwe uwanja wa Taifa kwa vile jina lake ni kubwa Ndani na Nje ya Tanzania hivyo pale Leaders walipozoelea kuaga Watu maarufu hapata Tosha ,Alisema uwanja wa taifa utampaka kila mtu chance ya kumuaga....Mweeeeee Makubwa

Alichosema ni kweli, kundi la wazuraji limeongezeka mara dufu. Tena hata uwanja wa Taifa hautoshi pale ni kwa ajili ya harusi ya Mzee Le Mutuz.
 
Huyu anaweweseka, usishangae akajiua ili aagwe kifahali
 
Hizi sifa nyingine zimepitilza,kwa kipi cha maana alichofanya akajaze uwanja wa watu 60k
 
Huyu dada jina la Wema walikosea kumpa kabisa labda wangemwita Fitina
 
Anaweza kujaza hata uwanja wa sabasaba wabongo wengi ni wazuraji na majobless.

atawapata wauza sura wa instagram anajiphotoa alafu unasikia at wema's funeral kila baada ya dk kumi sasa unakiuliza kaenda msibani au kaenda photoshop
 
Back
Top Bottom