Wema Sepetu: ''nikifa mimi leo au kesho niagwe uwanja wa taifa"

Haaah haaah haaah! Super star bongo? Wacha nicheke niongeze siku!
 
Anaweza kujaza hata uwanja wa sabasaba wabongo wengi ni wazuraji na majobless.

atawapata wauza sura wa instagram anajiphotoa alafu unasikia at wema's funeral kila baada ya dk kumi sasa unakiuliza kaenda msibani au kaenda photoshop
 

Wewe ndio utakuwa wa kwanza kupatwa maana kama Wema si lolote kwako usingekesha hapa kumuanzishia thread kila wakati kukujuwa hakujui na hana mpango huo.
 
Huyu dada jina la Wema walikosea kumpa kabisa labda wangemwita Fitina

Walichelewa kutanguliza Si-Wema....lingebeba maana kubwa sana kwake kuliko ilivyo sasa.....

Marijani alimuimba Siwena na kumwambia......"sibabaishwi na sura...aaaaah napenda....tabia njema aaaah"......
 
Cha ajabu bi mdada anatamani asindikizwe na umati ili hali yeye ana kashfa ya kususia misiba ya wenzake...sasa wewe kwao huendi lakini kwako unatamani waje...duh.

Jide naye msusiaji kama Wema naye aliwahi kutoa katazo kwa watakaohudhuria maziko yake........wadada kazi mnayo.

Ni bora mrudishe maneno yenu kinywani kwa sababu kama mpo bize wanapozikwa wenzenu inaweza ikatokea vivyo hivyo itakapofika zamu yenu, na wakakosekana watu hata wa kuijaza coaster......na wale miliowapiga marufuku kuja msibani kwenu ndio wakawa available.
 
Vinazeekaga hivyo mpaka vinasahaulika chezea god wewe?
 
Labda kama ataagwa akiwa uchi nitakwenda.

Ni sera yenu kupenda vitu vilivyo uchi...au vinavofanya matendo yanayoashiria kukaa uchi
 

Attachments

  • 1391525468658.jpg
    51.2 KB · Views: 324
Walichelewa kutanguliza Si-Wema....lingebeba maana kubwa sana kwake kuliko ilivyo sasa.....

Marijani alimuimba Siwena na kumwambia......"sibabaishwi na sura...aaaaah napenda....tabia njema aaaah"......

Labda aliikata hiyo Si?
 
Aagwe kwani alipokuja alikaribishwa?
 
Kwa umaarufu gani. ..duuuu kweli ......haoni kalio leee
 
Mi naona sawa tuu yeye kusema hivyo sababu watu walio mgegeda watajaza nusu ya uwanja halafu nusu nyingine ndo ndugu,jamaa na washabiki wake!

hahah balaa..nafac za mashemej, mawif wa kila aliemgegeda...bado uwanja wa taifa hautosh
 
Hili Binti Jinga, Taifa Wanaagwa Viongoz Tu, Domo wewe mwanya lama pengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…