Waislam majina utawajua tu haijui hata dini yake, waislam hua hawaagwiii lol
Matola habari yako mkuu
Jambo wewe?
Jambo mie mbona nilifungwa siku 7 hata kupiga mkwara wako tu hamnaa, lol
Kuna moderator anamind mzigo umemtosa? I was not aware kama hawa maraika wa kuzimu walikulima.
Mmh walinilimaa hata kosa hamna ni mamtu ya nyinyiemu naogopa kulitaja ntalimwa tena,