Wema Sepetu: ''nikifa mimi leo au kesho niagwe uwanja wa taifa"

Wema Sepetu: ''nikifa mimi leo au kesho niagwe uwanja wa taifa"

Waislam majina utawajua tu haijui hata dini yake, waislam hua hawaagwiii lol
 
Waislam majina utawajua tu haijui hata dini yake, waislam hua hawaagwiii lol

Uislamu hiyo dini karithi kwa mama yake? Baba yake alikuwa mkristo muanglikana nilishakutatana kanisa la mkunazini anglican cathedral Zanzibar.
 
Uislamu hiyo dini karithi kwa mama yake? Baba yake alikuwa mkristo muanglikana nilishakutatana kanisa la mkunazini anglican cathedral Zanzibar.
Matola habari yako mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kuna moderator anamind mzigo umemtosa? I was not aware kama hawa maraika wa kuzimu walikulima.

Mmh walinilimaa hata kosa hamna ni mamtu ya nyinyiemu naogopa kulitaja ntalimwa tena,
 
Msishangae kuagwa uwanjwa wa taifa... inawezekana smtimes huwa anaikaimu nafasi ya firstlady...
Anaweza kuagwa kama kiongozi.
 
Back
Top Bottom