Kweli. Yan ASAP la sivyo atakua kama RayC huyu.Sidhani kama kuna uhitaji wa kuwa daktari kugundua Wema ni mgonjwa wa Kichwa na anahitaji kupelekwa rehab...
Kudanga mapedesheeHivi ustar wa nn
Hata cjui mi mgeni hapaaYupi ni wema kati ya hao kwenye picha?
E news clouds Fm duh umekunywa maji ya bendera weweeView attachment 431026
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea.... 'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'.
NgashtukaaaClouds FM kuna E~News?
[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]
Sijui kwa nini hajisitiri huyu dada hata mama take anashindwa kumshauri?
View attachment 431026
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea.... 'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'.
Wa kati katiYupi ni wema kati ya hao kwenye picha?
Dah
Ila ameshatumika sana aiseeee.
Toka 2006??
chinaaaaaa
Pana haja ya kumkutanisha na yule 2pac wa tanzania (kwa mujibu wake kuwa kafanana na 2pac )nani anajua wanaweza kuwa pea nzuri!Sidhani kama kuna uhitaji wa kuwa daktari kugundua Wema ni mgonjwa wa Kichwa na anahitaji kupelekwa rehab...
sasa hu deal na washamba wakati hao washamba ndio wanaokuweka mjini kwa kununua bidhaa zako....
wanadamu tukishatajirika bwana.
[emoji23] [emoji23] nasubiri jibu na mimiKwani wema tajiri?