Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

View attachment 431026
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea.... 'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'.
E news clouds Fm duh umekunywa maji ya bendera wewee
 
View attachment 431026
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea.... 'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'.
 
Ukiona unakosana sana na watu ujue wewe ndio una matatizo,huyu mdada nae anamatatizo,mbona kila wakati yeye anagombana na kukosana na wenzie?
 
Ukiona unakosana sana na watu ujue wewe ndio una matatizo,huyu mdada nae anamatatizo,mbona kila wakati yeye anagombana na kukosana na wenzie? Mara Kajala mara huyu tenaaa mweeeeheee
 
Aishie zake nae huyu,ndio maana mim nakapenda Kalulu
 
Hakuna kitu hapo,wema ana life frustrations zake nae huyu...reaction zake hata kwenye mambo ya kawaida ni za ajab ajab tu
 
Back
Top Bottom