shifta
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 474
- 192
- Thread starter
-
- #41
Wallah CCM wakimpa ubunge huyu kahaba anaethubutu kumjadili mume wa MTU hadharani kwenye TV ati amenyang'anywa bwana ake, na mwenye mume asemeje sasa? Na huyo mama yake hata aibu haoni anamtukana kabisa kajala kama anachofanya mwanae ni halali, kwa vurugu zote alizofanya, kupigana global publishers, kupiga walinzi wake, kupora waume za watu, matusi ya kipashkuna nk hatufai kuwa mbunge, kwa hali tuliyonayo kama taifa tunahitaji watu makini waende wakatunge sheria na kuisimamia serikali tutoke hapa tulipo sio kupeleka wavua chupi wakavuane chupi bungeni, watatokea wapuuzi wenzie kumtetea hapa lkn tambueni hatuhitaji Wema Sepetu material bungeni
huyo anajisumbua tu