Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

Wallah CCM wakimpa ubunge huyu kahaba anaethubutu kumjadili mume wa MTU hadharani kwenye TV ati amenyang'anywa bwana ake, na mwenye mume asemeje sasa? Na huyo mama yake hata aibu haoni anamtukana kabisa kajala kama anachofanya mwanae ni halali, kwa vurugu zote alizofanya, kupigana global publishers, kupiga walinzi wake, kupora waume za watu, matusi ya kipashkuna nk hatufai kuwa mbunge, kwa hali tuliyonayo kama taifa tunahitaji watu makini waende wakatunge sheria na kuisimamia serikali tutoke hapa tulipo sio kupeleka wavua chupi wakavuane chupi bungeni, watatokea wapuuzi wenzie kumtetea hapa lkn tambueni hatuhitaji Wema Sepetu material bungeni

huyo anajisumbua tu
 
Roho mbayaaa, mb zenyewe 8 ukim download una nn? km vip nendaa global kamtangazeeee
 
Uzao wa malaya ni malaya tu.kushabikia malaya ni kuwa malaya pia
 
Roho mbayaaa, mb zenyewe 8 ukim download una nn? km vip nendaa global kamtangazeeee

Kwa utafiti rasmi mashabiki wa huyu kenge ni wale nyumba ndogo,machangu,mashugamami,walio achika,na punguani wengine.
 
Siamini kama huyo mbunge mtarajiwa yupo vizuri kichwani, asamehewe kwa kila jambo.
 
Ujumbe muhimu sana kama anajitambua atakuwa amekuelewa
 
Kwa utafiti rasmi mashabiki wa huyu kenge ni wale nyumba ndogo,machangu,mashugamami,walio achika,na punguani wengine.

hahahahaaaaaaaaaaa! Jambo usilolijua litakusumbua. Hater's wengi wa le super Honourable Madame Wema Sepetu ni kula kulala, nendraaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom