Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Katika page yake ya instagram, super star wema sepetu aka mama ubaya amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kipost

"Okay... Lets get things straight here.... See dat doggie up there... Y'all see her....? Dat is my bebi.... since i dont have a bebi... Huyo ndo mtoto wng... Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta... Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai... Akha...!! Zaa zaa... If u have a child im happy for u... Nd wish u da best... I dont... Ndo mungu alivyonipangia... So please hey.... Watakaozaa all da best... Walio na mipango ya kuzaa hongereni... Mimi sina ... Im done... Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko.... Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone... This is getting too personal sasa...
 

Attachments

  • 1415116042528.jpg
    58.2 KB · Views: 4,633
Mi nimeshamuelewa, huyu hana kizazi tu anajishaua bure, ule umalaya wa kutoa mimba ovyo kama anakunya mavi kizazi kisitoke mchezo? Atajibeba

oooh......kumbe alichezea usichana.......
 
sijaelewa Mungu kampagia nini.....?

yani Mungu kampangia mtoto wake awe mbwa ama.....mmh sijaelewa?

Hata mi nashangaa.

Ndugu ukisikia kumtaja m'mungu pasipohusika ndio huku.

Ila labda mi na wewe ndio hatujaelewa.
 
Mi nimeshamuelewa, huyu hana kizazi tu anajishaua bure, ule umalaya wa kutoa mimba ovyo kama anakunya mavi kizazi kisitoke mchezo? Atajibeba

Huyu kizazi chake sugu umri wa ndala kasheba,hicho kizazi hata utoke jela mbegu zina kutu mimba hainasi
 
Ameongea kwa hasira inaonyesha hazaiii,sie wanasaikolojia tumeona hiloooo.ova
 
Namuombea asikufuru tu sidhani kama kuna mtu asiyependa mtoto.

Ila kuna kipindi watu walimuandama sana kuhusu kuwa na mtoto nahisi ndo kilichomtia hasira hata aandike maneno kama hayo.
 
Yaani watu wanachunguzana hadi kwenye mambo ya kuzaa?!!!!!!
 
hii ni habari mbaya kwa image ya nchi, itabidi wema sepetu( 22+4) abembelezwe na ikulu chini ya first lady abadili msimamo sababu yeye ne dangote ndio wanaoitangaza nchi yetu kimataifa
 
Ameongea kwa hasira inaonyesha hazaiii,sie wanasaikolojia tumeona hiloooo.ova

Mwanasaikoloji umetisha, chezeya binamu yangu weye, kila cheo ye yumo

Inaonekana tu kuwa hana kizazi huyo, maana anavyoongea kuna vitu vinaingia mpaka kwenye ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…