Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Umemsikia lemutuz? Anasema mama ubaya hazai kwa kuwa alimkashfu zari hvyo akamuombe msamaha

Hahahaaa,sijasikia binamu! Le Mutuz anataka balaa sasa.Huyo wema kamkashifu Zari juzi tu hapa jamani!
 
Mungu amuongoze yeye na sisi kwa pamoja lakin bun adam huwezi kusema ww mwanao ni mbwa dah Allah atuongoze in shaa allah
 
Mitanzania ni mipumbavu kupita maelezo, simshauri mwanamke yeyote kuzaa kabla ya ndoa labda afikishe miaka 40 na hajaolewa hapo ni sawa kama ataamuwa kuzaa.

Nchi hii mijitu inazidi kuwa masikini kwa kushabikia mambo yasiokuwa na kichwa wala miguu.
We ndiyo unafikiri kwa kutumia kamasi tu. Sasa we Wema uyo si kibibi kile? Unaka kizae na umri upi sasa? Kitaalam haishauriwi kuzaa above 35
 
Vipi na kutombwa nje ya ndoa? Mnavyokataa kuzaa nje ya ndoo nilitegemea nisikie nyie nyote mabikira.
 
Watoto wa wema wakicheza
1451729151528.jpg
 
Back
Top Bottom