Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Binamu mfyuuu zako., ivi unajua hata useme nini hakuna mtoto haramu?
Heshima ya ndoa haifanyi mtoto akawa haramu.
Mfyuu zako mmeacha kujadili pwanya road mmeanza kujadili uumbaji wa Maulana.Sasa kuna imani ya watu wengine wambeya wote ni haramu unakubaliana na hilo?

Kwa comment hii ni dhahiri unanilenga mimi.Na kwanini useme kwa mafumbo? Sometimes hua sipendi ugomvi na watu ila tu basi nachokozwa mie.Fumbo mfumbie mjinga ila mwerevu atang'amua hata uweke vifundo gani.Hasa mie nifah tena....aaaaarg acha masihara bwana.
Kila mtu ana msimamo wake na kikubwa tokea jana napiga kelele na wewe jamani imani zetu za kidini hazifanani!
Kiislam mtoto anayezaliwa kabla au nje ya ndoa ni kharamu haswaaa na wala katika urithi hahesabiwi ila kama mwenye mali (baba) ataamua kumrithisa, ila matumizi na huduma zote anastahili.
Na ni kweli kua katika uislam ni dhambi kubwa kusengenya, ni sawa na kula nyama ya Binaadamu mwenzio.Haya yote yameainishwa katika Qur'an tukufu sio maneno ya nifah.
Sasa ndio maana nikasema tokea jana kua kuzini tuzini kwa starehe zetu na mimba tubebe pia?
Na pia nikaendelea kusema kua kuzaa ndani ya ndoa kuna raha yake bwana.
Sasa kama nilikukwaza bibie pole sana.
 
Last edited by a moderator:

nifah Quran haikatazi uzinzi??? nakunukuu "tuzini kwa starehe zetu" ukizini ukapata mimba bora kuitoa si ndio???

oyaa yaa yaa things are getting serous yaishe haya wenye watoto tulee wenye kusubiri wenu wa halali msubiri ambao wanahitaji na hawajapewa bado Mungu awape....
 
Uwiiii😕😕😕😕
Haa!, yani nifah mama unataka kujipa headache bureeee!! Yani nisitoe fikra zangu kwa vilenin the first place nlitofautiana na wewe? Chillax wala sijakufumbia wewe!! Dont personalize this, u were not even in my mind.I dont carry grudeges around du.
Sasa mimi nisitie neno kisa imani yako mama.
Please lets agree to dis agree na usiwe unapenda kujihisi, hukuwepo hata kwenye fikra zangu.
Tusirudi tulipotoka jamani.
Sio wewe ulio advocate peke yako a thing with uharamu.
So just relax its not about u, its about mitazamo.
My point stands, I cherrish young innocent souls.
Wala nilikua sijui kqa imani yako kama umbeya ni sawa na haramu blv me ndo umenifumbua mijicho😱
 
Vyote inakataza lakini sio kila dhambi na mimi niwemo jamani! Acha nizini kwa raha zangu ila nisimtie doa mwanangu la kuitwa mwana kharamu.Ndio maana watoto waliozaliwa nje ya ndoa kiislam wanafuata ubini wa mama zao.

Sikatai na wala sitokaa nimjudge mtu kwa kuzaa nje ya ndoa maana ni vizuri kuliko kuua kiumbe kisicho na hatia.Huu ni mtazamo na msimamo wangu mimi tu,simhusishi yeyote katika hili.
 
Uwiiii😕😕😕😕
Haa!, yani nifah mama unataka kujipa headache bureeee!! Yani nisitoe fikra zangu kwa vilenin the first place nlitofautiana na wewe? Chillax wala sijakufumbia wewe!! Dont personalize this, u were not even in my mind.I dont carry grudeges around du.
Sasa mimi nisitie neno kisa imani yako mama.
Please lets agree to dis agree na usiwe unapenda kujihisi, hukuwepo hata kwenye fikra zangu.
Tusirudi tulipotoka jamani.
Sio wewe ulio advocate peke yako a thing with uharamu.
So just relax its not about u, its about mitazamo.
My point stands, I cherrish young innocent souls.
Wala nilikua sijui kqa imani yako kama umbeya ni sawa na haramu blv me ndo umenifumbua mijicho😱

Huu mjadala nilishajitoa tokea jana na hata hivyo nimekuja kuweka mambo sawa tu maana sipendi unafiki.Nikihisi kitu nasema tu, huoni imekua vizuri sasa kuliko ningekaa na donge moyoni?
JF haiwezi kunipa headache my dear,na hata jana baada ya kutofautiana na mtu fulani huku nilifikiria nikacheka sana.
Ni hayo tu....amani itawale.
 
Last edited by a moderator:
Kwa comment hii ni dhahiri unanilenga mimi.Na kwanini useme kwa mafumbo? Sometimes hua sipendi ugomvi na watu ila tu basi nachokozwa mie.Fumbo mfumbie mjinga ila mwerevu atang'amua hata uweke vifundo gani.Hasa mie nifah tena....aaaaarg acha masihara bwana.
Kila mtu ana msimamo wake na kikubwa tokea jana napiga kelele na wewe jamani imani zetu za kidini hazifanani!
Kiislam mtoto anayezaliwa kabla au nje ya ndoa ni kharamu haswaaa na wala katika urithi hahesabiwi ila kama mwenye mali (baba) ataamua kumrithisa, ila matumizi na huduma zote anastahili.
Na ni kweli kua katika uislam ni dhambi kubwa kusengenya, ni sawa na kula nyama ya Binaadamu mwenzio.Haya yote yameainishwa katika Qur'an tukufu sio maneno ya nifah.
Sasa ndio maana nikasema tokea jana kua kuzini tuzini kwa starehe zetu na mimba tubebe pia?
Na pia nikaendelea kusema kua kuzaa ndani ya ndoa kuna raha yake bwana.
Sasa kama nilikukwaza bibie pole sana.

Binadamu tuache kuhararisha dhambi, kuzaa nje ya ndoa ni tendo haramu linalozaa kiumbe haramu, waoneeni huruma hao viumbe mnaowazaa ambao wengine baba zao ukimbia kabisa na kumuacha mama akilea mtoto peke yake tena kwa shida ,inauma sana
 
Last edited by a moderator:
nifah Quran haikatazi uzinzi??? nakunukuu "tuzini kwa starehe zetu" ukizini ukapata mimba bora kuitoa si ndio???

oyaa yaa yaa things are getting serous yaishe haya wenye watoto tulee wenye kusubiri wenu wa halali msubiri ambao wanahitaji na hawajapewa bado Mungu awape....

La muhimu wenye watoto walee watoto wao.Wenye imani washike imani zao.Kwenye umbeya tushirikiane kuongeza siku.Its not better to get sentimental na tukitofautiana mada wala tusikasirike sanaaa, iz mada zitabaki hapa hapa.
 
Huu mjadala nilishajitoa tokea jana na hata hivyo nimekuja kuweka mambo sawa tu maana sipendi unafiki.Nikihisi kitu nasema tu, huoni imekua vizuri sasa kuliko ningekaa na donge moyoni?
JF haiwezi kunipa headache my dear,na hata jana baada ya kutofautiana na mtu fulani huku nilifikiria nikacheka sana.
Ni hayo tu....amani itawale.

Binamu warumi naomba kwa heshima na taadhima tuufunge huu mjadala! Kila mtu ana maisha yake baada ya hapa JF, sipendi kukwazana na watu humu basi tu itokee.Na kwavile nimeshajua hii mada imewagusa mabest zangu sitaki kuendelea kuwakwaza.
 
Last edited by a moderator:
Huu mjadala nilishajitoa tokea jana na hata hivyo nimekuja kuweka mambo sawa tu maana sipendi unafiki.Nikihisi kitu nasema tu, huoni imekua vizuri sasa kuliko ningekaa na donge moyoni?
JF haiwezi kunipa headache my dear,na hata jana baada ya kutofautiana na mtu fulani huku nilifikiria nikacheka sana.
Ni hayo tu....amani itawale.

Yani ulivojitoa ndo maana sikukuongelesha tena kuhusu hizi habari za uharamu nikawa najibizana na walio kua wanaongea juu ya izi habari.So wala comment ilikua sio yako.
 
Lakini umeelewa nilichoakiandika? Wema hajafikisha hata miaka 30 namuunga mkono asizae kabla ya ndoa, madhara ya kuzaa kabla ya ndoa tumeshayajadiri sana humu JF, kwa aliyezaa nje ya ndoa imeshatokea ila ambaye hajazaa bado asifanye hivyo.

Mwenye masikio na asikie mimi ni Mwanaume nazijuwa feelings zetu acheni kudanganyana.

Hebu kajambe huko wewe utaniambia nini? au unanifananisha?

Vipi ushapona minyoo baba samila??
 
Yani ulivojitoa ndo maana sikukuongelesha tena kuhusu hizi habari za uharamu nikawa najibizana na walio kua wanaongea juu ya izi habari.So wala comment ilikua sio yako.

Peace and ♥♥
Ndio sirudi tena huku labda uanzishwe uzi mwingine.
 
Anzisha tu binamu tupige umbea kwa raha zetu hii mambo haifai tena.

Sasa watu ndio tuachane na unafki Wema ni mtoto wa kiislamu ni kweli anazini lakini ni kwa nini sasa watu wamlazimishe kuzaa haram kwa mujibu wa dini yake?

This is total unfair tumtendee haki pia na yeye ni binadamu wala hana roho ya chuma.

Kuna mama mmoja wa kizungu alikuwa Boss wangu hana mtoto na kwa umri alionao hawezi kuja kuzaa lakini alikuwa anagharamia masomo ya watoto wote wa personal secretary wake wa kiume,

Sasa je kati ya huyu mama ambaye hajazaa lakini anaisitiri familia nyingine kwa kila kitu na mwanamke anayefyatua watoto kama kiwanda cha matofari yupi bora hapo?

Wema hatendewi haki katika hili, ndani ya familia yangu nina mama yangu mdogo amezaa kama panya na watoto karibu wote Baba zao hawajurikani matokeo yake tunabebeshana mizigo isiyo na tija na kuzeeshana kabla ya muda wakati na mimi nina familia yangu inanitegemea.
 
Back
Top Bottom