Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

ha ha ha tumezaa kabla ya ndoa ushauri wako baba nanii au tungezichomoa ili tungoje ndoa???

Lakini umeelewa nilichoakiandika? Wema hajafikisha hata miaka 30 namuunga mkono asizae kabla ya ndoa, madhara ya kuzaa kabla ya ndoa tumeshayajadiri sana humu JF, kwa aliyezaa nje ya ndoa imeshatokea ila ambaye hajazaa bado asifanye hivyo.

Mwenye masikio na asikie mimi ni Mwanaume nazijuwa feelings zetu acheni kudanganyana.
 
Aende uko, anaitamani sanaaaa anafikiria kua mama ni mchezo? Kazinyofoa mimba weee sasa kabaki kulea mbwa, hajui huyo mbwa pia Ana mamake au kamzaa yeye shankupe huyo mbele kauza nyuma kaweka rehani atajibeba.....

Ee jaman acha basi we nanihii
 
Eti.."vanilla is my bby.." nyonyonyonyonyooooo...ptfyuuuuuuuuuu..huna hata haya..kwani umeshindwa kumchukua mtt ktk kituo ki1 cha kulelea watt ukamlea km kweli wajua kulea ww..? Wee sema una mpenz dog..not a bby bich..!!
 
Mkuu mbona una lugha ya chooni sana?

Mitanzania na wewe included,dada mama baba nk zako....infact u are eating your own sh.it right there!

Na unavyoita wenzako masikini,wewe una outstanding liquid kiasi gani?Its very funny na vigari vyako vya kijapan,kinyumba kipo skwata baaasi unaita the rest of Tanzania masikini....u got problems brotha!

Ha ha ha ha nipe rahaa jaman nami nikupe raha, jf bwana
 
Eti.."vanilla is my bby.." nyonyonyonyonyooooo...ptfyuuuuuuuuuu..huna hata haya..kwani umeshindwa kumchukua mtt ktk kituo ki1 cha kulelea watt ukamlea km kweli wajua kulea ww..? Wee sema una mpenz dog..not a bby bich..!!

Mrembo by Nature uko wapiiiiiiiii? Ahahahahajaaa unalooo uko ulipo
 
Last edited by a moderator:
Lakini umeelewa nilichoakiandika? Wema hajafikisha hata miaka 30 namuunga mkono asizae kabla ya ndoa, madhara ya kuzaa kabla ya ndoa tumeshayajadiri sana humu JF, kwa aliyezaa nje ya ndoa imeshatokea ila ambaye hajazaa bado asifanye hivyo.

Mwenye masikio na asikie mimi ni Mwanaume nazijuwa feelings zetu acheni kudanganyana.

Bambieeee hao, Evelyn Salt msg delivered, geniveros upooo??
 
Last edited by a moderator:
hii sredi inanikumbusha ule wimbo wa Mgumba ulioimbwa na Tamtam Muumini...."iyee iyeeee jamani mi matatizoo iye iyeee"

NANI ANAUKUMBUKA?
 
Katika page yake ya instagram, super star wema sepetu aka mama ubaya amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kipost

"Okay... Lets get things straight here.... See dat doggie up there... Y'all see her....? Dat is my bebi.... since i dont have a bebi... Huyo ndo mtoto wng... Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta... Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai... Akha...!! Zaa zaa... If u have a child im happy for u... Nd wish u da best... I dont... Ndo mungu alivyonipangia... So please hey.... Watakaozaa all da best... Walio na mipango ya kuzaa hongereni... Mimi sina ... Im done... Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko.... Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone... This is getting too personal sasa...

Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Hajakosea.
 
Ivi Matola kuna nyimbo moja iv ya zamani, wanaimba ivi

Wanawake wazuri wazuri wameolewa, wamebaki manunga maembe wanahangaika, sijui unaipata? Eti Evelyn Salt unaikumbuka?
 
Last edited by a moderator:
Ivi Matola kuna nyimbo moja iv ya zamani, wanaimba ivi

Wanawake wazuri wazuri wameolewa, wamebaki manunga maembe wanahangaika, sijui unaipata? Eti Evelyn Salt unaikumbuka?

Binamu mfyuuu zako., ivi unajua hata useme nini hakuna mtoto haramu?
Heshima ya ndoa haifanyi mtoto akawa haramu.
Mfyuu zako mmeacha kujadili pwanya road mmeanza kujadili uumbaji wa Maulana.Sasa kuna imani ya watu wengine wambeya wote ni haramu unakubaliana na hilo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom