Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Hivi kwnn mnamchanganya mwenzenu....!!?

Hivi hata akimuamini Mungu tuuu atazaa bila kufanya sex au kuwa na Mume...!!!?? Sasa hivi Wema hana mume...Diamond kamwacha...sasa ATAZAAJE..!!?

YEYE atafute mwanamme afanye nae doggy style siku za hatari atashika mimba....

Sijui kwnn watu wagumu sana kufundisha watu wenye shida...unakuta mtu ana tatizo..badala ya kulitatua kwa njia sahihi ndio unampotosha kabisa...eti afunge na kusaliii tuuu...eboo..sala inaleta mimba..!!?

hhahaaaahahahaaa......... angetueleza kwanza zababu za kitaalamu kwanini hana mayai????
 
Sijui kwa nini sitaki kuamini hili,nahisi kuna kamchezo kanachezwa juu ya hili!lugha iliyotumika kwenye hii post ya wema ni tofauti na uandishi wake tulouzoea kabisa!!
 
Namshauri asije kusoma mlivyochangia manake atachanganyikiwa zaidi
 
Sijui kwa nini sitaki kuamini hili,nahisi kuna kamchezo kanachezwa juu ya hili!lugha iliyotumika kwenye hii post ya wema ni tofauti na uandishi wake tulouzoea kabisa!!

Ili ku-amini tafuta account yake ya Instagram
 
mods please tunaomba huu uzi uupeleke Celebrities forums
 
Sijui kwa nini sitaki kuamini hili,nahisi kuna kamchezo kanachezwa juu ya hili!lugha iliyotumika kwenye hii post ya wema ni tofauti na uandishi wake tulouzoea kabisa!!

I second you.
Kwanz kama kweli angekua na tatizo asingesema huyu.
Few days back alisema bado mdogo.This is another kick I tell u.tena unaweza kuta she is prego contrary to what is writtem.Ni kama ana wajoke wahasimu wake.
 
Dada Wema pole.
Hata hivyo bado Mungu hajashindwa. Tafuta KANISA lolote la kilokole au ni PM nikuelekeze ukafanyiwe maombi. Mkumbuke Sarah mke wa Ibrahim alizaa akiwa amevuka menopause. Mkumbuke pia Hannah n.k

Haijalishi ulifanya nini ukitubu Mungu anasamehe. Aliyemsafi na akurushie jiwe!!!!!

Kutoka 23:25-26
Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

Queen Esther

mkuu ameccoment vyema but kumbuka si kila mgumba ni matokeo ya dhambi zake. ni kweli atubu ila si kwa ajili ya kuwa fertile.

pole sana kwake.
 
I second you.
Kwanz kama kweli angekua na tatizo asingesema huyu.
Few days back alisema bado mdogo.This is another kick I tell u.tena unaweza kuta she is prego contrary to what is writtem.Ni kama ana wajoke wahasimu wake.

nahisi hivyo pia!wema akiumiaga uandishi wake unakuwa wa kulalamika sana!!halafu english inakuwa nyingi mno,subiri tuone episode inayokuja
 
Wema atakuwa na matatizo mbona Zari nasikia ana mimba ya diamond.
 
nahisi hivyo pia!wema akiumiaga uandishi wake unakuwa wa kulalamika sana!!halafu english inakuwa nyingi mno,subiri tuone episode inayokuja

Huyu anataka kuzungumziwa hana lolote.
 
...hata biologia haisemi uombe ukikosa mtoto, ni kusex at a right time...ebu acheni kupotosha....
Mkishapata watoto ndio mnakufuru Mungu kwa kujiona kuwa ni matokeo ya biolojia. If you think more and more, unaweza ukapata jibu kuwa aliyekuzaa ametokea wapi... ukawa unarudi nyuma kwa vizazi vyote, halafu useme huyo mzazi wetu wa kwanza alitokea wapi. Utajitetea kwamba sijui kuna chembechembe zilikuwepo zikaungana, still rudi nyuma ujiulize zilitoka wapi, hadi hiyo nature ujiulize ilitoka wapi. Ukipata jibu, njoo kifua mbele hapa ujitape kwamba wewe ni rijali unayeweza kuwapa ujauzito matasa!
 
Back
Top Bottom