Hivi kwnn mnamchanganya mwenzenu....!!?
Hivi hata akimuamini Mungu tuuu atazaa bila kufanya sex au kuwa na Mume...!!!?? Sasa hivi Wema hana mume...Diamond kamwacha...sasa ATAZAAJE..!!?
YEYE atafute mwanamme afanye nae doggy style siku za hatari atashika mimba....
Sijui kwnn watu wagumu sana kufundisha watu wenye shida...unakuta mtu ana tatizo..badala ya kulitatua kwa njia sahihi ndio unampotosha kabisa...eti afunge na kusaliii tuuu...eboo..sala inaleta mimba..!!?
Hizi ni dalili za kuanza kuchanganyikiwa.. tulishasema humu,. umri unaposogea mtalia tu.
Sijui kwa nini sitaki kuamini hili,nahisi kuna kamchezo kanachezwa juu ya hili!lugha iliyotumika kwenye hii post ya wema ni tofauti na uandishi wake tulouzoea kabisa!!
Sijui kwa nini sitaki kuamini hili,nahisi kuna kamchezo kanachezwa juu ya hili!lugha iliyotumika kwenye hii post ya wema ni tofauti na uandishi wake tulouzoea kabisa!!
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/752650-wema-sepetu-sina-mpango-wa-kuzaa.html
piteni na hapo kabla ya kuanza ku sympathize nae.
Dada Wema pole.
Hata hivyo bado Mungu hajashindwa. Tafuta KANISA lolote la kilokole au ni PM nikuelekeze ukafanyiwe maombi. Mkumbuke Sarah mke wa Ibrahim alizaa akiwa amevuka menopause. Mkumbuke pia Hannah n.k
Haijalishi ulifanya nini ukitubu Mungu anasamehe. Aliyemsafi na akurushie jiwe!!!!!
Kutoka 23:25-26
Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.
Queen Esther
I second you.
Kwanz kama kweli angekua na tatizo asingesema huyu.
Few days back alisema bado mdogo.This is another kick I tell u.tena unaweza kuta she is prego contrary to what is writtem.Ni kama ana wajoke wahasimu wake.
Huyu wema ni mnafiki sana alisema hataki kuzaa mwaka 2014 leo 2015 ana lia lia kinafikihttps://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/752650-wema-sepetu-sina-mpango-wa-kuzaa.html
piteni na hapo kabla ya kuanza ku sympathize nae.
nahisi hivyo pia!wema akiumiaga uandishi wake unakuwa wa kulalamika sana!!halafu english inakuwa nyingi mno,subiri tuone episode inayokuja
Mkishapata watoto ndio mnakufuru Mungu kwa kujiona kuwa ni matokeo ya biolojia. If you think more and more, unaweza ukapata jibu kuwa aliyekuzaa ametokea wapi... ukawa unarudi nyuma kwa vizazi vyote, halafu useme huyo mzazi wetu wa kwanza alitokea wapi. Utajitetea kwamba sijui kuna chembechembe zilikuwepo zikaungana, still rudi nyuma ujiulize zilitoka wapi, hadi hiyo nature ujiulize ilitoka wapi. Ukipata jibu, njoo kifua mbele hapa ujitape kwamba wewe ni rijali unayeweza kuwapa ujauzito matasa!...hata biologia haisemi uombe ukikosa mtoto, ni kusex at a right time...ebu acheni kupotosha....