Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Nyie walokole mnatuzingua sasa mnamshauri aende kanisani akaombewe ili apate mtoto wakati hana mme.?biblia si inakataza uzinzi.?
 
Kosa la kwanza ni kutafuta mtoto kabla ya ndoa lakini usikate tamaa M/mungu ni msamehevu sana ,acha zinaa km bado unaendelea tubu kwa Allah omba dua mwenyewe mlilie mola upate mume sahihi kwako ila nawe badilisha maisha yako
 

Asa unavosema huna hata wakusingiziwa unakuwa na akiri timamu kweli toka lini mwanamke akasingiziwa mtoto...?
 
hajapata mwanaume tu aliye kamili uyo.nikiweza kumpata na tukacheza round kama wiki ivi lazima apate ujauzito mungu akitaka.njoo WEMAAAAAA

Image ya Allah is one mbona haiendani na comment ulioweka km kweli unamuabudu Allah usingeandika maneno mabaya
 
Akiolewa atapata mtoto..kwanza atubu dhambi ya uzinzi kwasababu amekiri kuhangaika kutafuta mtoto wakati hajaolewa!
 
Wapo wengi lakini hawajaweka bango la matangazo ili iweje sasa
 
mungu ni waajabu sana unaweza ukapewa yai1 tu basi..kanumba alikubahatisha wema ila ukachoropoa saiv ndo ivo tena
 
anajiuliza amemkosea nini Mungu kwani wale vichanga walimkosea nini yeye?
 
kaishadaka mimba tayari nini? hapa anawakusanya mamburulaz nahisi...hehe
 
Mwanamke mwenye turner's syndrome kupata mtoto ni ndoto hata kama atalala na padri/mchungaji/papa/mwinjilist etc

Yawezekana wanawake wasio na uwezo wa kuzaa ndo huhangaika Sana kutafuta suluhisho kuliko wenye matatizo mengine na huishia kuwa wanyonge maisha yao yote no matter wana ukwasi ama ukata.
 
Nyie walokole mnatuzingua sasa mnamshauri aende kanisani akaombewe ili apate mtoto wakati hana mme.?biblia si inakataza uzinzi.?

Ni sawa na kuomba ushinde shindano la JAY MILLIONS la Vodacom wakati unatumia line ya Airtel.
 
Huku ni kutafuta huruma tuu hakuna lingine! Mimi nasema waache waendelee kutukanwa maana ndio maaisha walio chagua ya kutukanwa.

Hivi anafikiri yeye ni star wa kike pekee hasiye na mtoto? Mbona wengine hawatukanwi? Anatakiwa kujua anaponzwa na style yake ya maisha aliyo chagua kwa hiyo kulia lia hakuto msaidia labda kubadili style ya maisha.

Kuna watu wamekuwa wakitukanwa na kudhalilishwa kwa mgogo wa kumtetea yeye na wamekuwa wakiumizwa sana..na wao pengine wana dhalilishwa kwa kuwa ni style ya maisha walio chagua hivyo hawatakiwi kulialia na kumhusisha Mungu kwa mambo yao ya kipuuzi yanayo tokana na style yao ya maisha.

Mastaa wengi wa bongo na Wema akiwemo wamegeuza mitandao ya kijamii kama nyumba zao...humo ndimo kuna sebure;chumba na bafu...hivyo kila kitu wana kifanyia kwenye mitandao ya kijamii!

Kwakuwa wameigeuza mitandao ya kijamii kama ni sehemu ya maisha yao yani hawawezi kufanya jambo bila kuhishirikisha mitandao ya kijamii..kwa hiyo wana vuna wanacho panda kila leo.

Ni ajabu sana kuona mtu anashangaa kuvuna alicho panda..wanafikiri kuwa matokeo yatakuwa matamu tuu...Haya ndio matokeo ya kugeuza mitandao kama familia yao kwa hiyo waache kulialia na kutafuta huruma kwa kupewa walicho kipanda..

Kama walio kuzunguka huwatukana wengine lazima siku na wewe utatukanwa na wengine walio wazunguka wengine..Mimi simuonei huruma hata chembe anaye vuna aliyo yapanda kila leo.

Watu wanafikiri wao pekee ndio hutukanwa kwa kuwa wao nyumba zao ndio mitandao ya kijamii..wanatakiwa kujua kuwa wanatakiwa kuwa na ngozi ngumu kama watageuza mitandao ya kijamii kama nyumba zao.

Mimi nasema wataendelea kuwatukana na kuwadhalilisha kila leo kama hamtobadilika na wala hakuna atakaye waonea huruma.
 
Unatoa mimba unajua zimebaki ngapi sasa mtasaka uzazi mpaka mkome!? Mungu si mjinga unachoropoa mimba eti mwanaume mwenyewe pesa hana!? Aeleweki. Wewe uliambiwa utanue papachu yako pumbafffff?! Kuzini uzini kuzaa. Mpaka Niolewe aukoe wakiti Unatoa mimba ovyoovyo. kwa nini utanue vipaja vyako ovyo@)%:/
 
Nilikuwaga najiuliza, ina maana domond platnumzi hakuwaga anakojoa kwenye nyama au? Ila naye akajicheki!
Wema, njoo jaribu bahati yako kwangu! Ila sina mshiko, ni ⚡️⚡️⚡️⚡️ tu.
 
Painfully.....

Wema bado mdogo I mean bado yuko kwenye umri wa kuzaa kibiologia. Hana sababu ya kukata tamaa akifika 49 mwishoni bila mtoto ndio anaweza kutoa hayo maneno. kwa sasa mwanangu endeleea kupiga kazi ipo siku utakutana na dume la mbegu.
 

Tatizo watu hawapendi kuambiana ukweli wote wanabaki kulialia kama yeye na kusema ooooh so sad..Wanatakiwa kumwambia haya maisha ya kutukanwa na kudhalilishwa ndio aliyo ya chagua na ndio matunda yake..akitaka kuondokana na haya matunda ni kubadili aina ya maisha anayo ishi na anatakiwa kuchora mstari kati ya maisha yake na maisha ya mitandao..
 
Wema bado mdogo I mean bado yuko kwenye umri wa kuzaa kibiologia. Hana sababu ya kukata tamaa akifika 49 mwishoni bila mtoto ndio anaweza kutoa hayo maneno. kwa sasa mwanangu endeleea kupiga kazi ipo siku utakutana na dume la mbegu.

Sasa 49 si atakuwa bibi badala ya mama! Huu ndo muda wake wa kuegesha goli ikiwezekana lifungwe hata goli la mkono.
Madume ya mbegu mbona yapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…