Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Muombe mungu km hukuwahi toa mimba basi mlilie yeye.kuna dada alikua hapati mimba akawa analia emungu nipe mtoto awe vyovyote vile misawa tu hata km hana macho.ck 1 akashika mimba akajifungua akamshukuru san mungu mtoto alivyo anza kutembea akawa mtundu kupitiliza mchana halali anakojoa nakunya ndani anavunja vyombo yani anafanyavituko mpaka yule mama akawa analia alivyo choka akasema emungu nimtoto gani huyu ulie nipa mm mbona niwaajabu hakukaa sn mtoto akiwa na miaka3akafa hadi leo hana mtoto naanakiri alimkosea mungu huyo mama yupo njombe kwahiyo wema km hukuwahi kutoa mimba omba san mungu atasikia kilio chako.
 
Hajasema chanzo cha kutopata mtoto???

Ni ngumu kusema chanzo kama mtu umeshapata mimba na kuzi flash kama anayopitia yeye. Hii kitu inakumbaga wanawake wengine pia. Au labda kashaambiwa tatizo sasa ni nini baada ya kuflask.

Ila maisha ya Chibu now ndio yanamuumiza zaidi hakuna lingine.
 
Muombe mungu km hukuwahi toa mimba basi mlilie yeye.kuna dada alikua hapati mimba akawa analia emungu nipe mtoto awe vyovyote vile misawa tu hata km hana macho.ck 1 akashika mimba akajifungua akamshukuru san mungu mtoto alivyo anza kutembea akawa mtundu kupitiliza mchana halali anakojoa nakunya ndani anavunja vyombo yani anafanyavituko mpaka yule mama akawa analia alivyo choka akasema emungu nimtoto gani huyu ulie nipa mm mbona niwaajabu hakukaa sn mtoto akiwa na miaka3akafa hadi leo hana mtoto naanakiri alimkosea mungu huyo mama yupo njombe kwahiyo wema km hukuwahi kutoa mimba omba san mungu atasikia kilio chako.

Ni kweli amlilie Mungu maana alishazitoa mimba.
 
Mungu kama alikupangia kuzaa watoto wawili af wewe umeshaua saba unamdai nini ss??? Hizo mbinu zako mkuu hazitafanya kazi....acheni umalaya na uuaji wa malaika wa Mungu.

Hivi jamani mwanamke anayekosa ujauzito, sababu yake ni kwamba alitoa mimba??, hakuna sababu ingine, plse think outside the box.
 
Huku ni kutafuta huruma tuu hakuna lingine! Mimi nasema waache waendelee kutukanwa maana ndio maaisha walio chagua ya kutukanwa.

Hivi anafikiri yeye ni star wa kike pekee hasiye na mtoto? Mbona wengine hawatukanwi? Anatakiwa kujua anaponzwa na style yake ya maisha aliyo chagua kwa hiyo kulia lia hakuto msaidia labda kubadili style ya maisha.

Kuna watu wamekuwa wakitukanwa na kudhalilishwa kwa mgogo wa kumtetea yeye na wamekuwa wakiumizwa sana..na wao pengine wana dhalilishwa kwa kuwa ni style ya maisha walio chagua hivyo hawatakiwi kulialia na kumhusisha Mungu kwa mambo yao ya kipuuzi yanayo tokana na style yao ya maisha.

Mastaa wengi wa bongo na Wema akiwemo wamegeuza mitandao ya kijamii kama nyumba zao...humo ndimo kuna sebure;chumba na bafu...hivyo kila kitu wana kifanyia kwenye mitandao ya kijamii!

Kwakuwa wameigeuza mitandao ya kijamii kama ni sehemu ya maisha yao yani hawawezi kufanya jambo bila kuhishirikisha mitandao ya kijamii..kwa hiyo wana vuna wanacho panda kila leo.

Ni ajabu sana kuona mtu anashangaa kuvuna alicho panda..wanafikiri kuwa matokeo yatakuwa matamu tuu...Haya ndio matokeo ya kugeuza mitandao kama familia yao kwa hiyo waache kulialia na kutafuta huruma kwa kupewa walicho kipanda..

Kama walio kuzunguka huwatukana wengine lazima siku na wewe utatukanwa na wengine walio wazunguka wengine..Mimi simuonei huruma hata chembe anaye vuna aliyo yapanda kila leo.

Watu wanafikiri wao pekee ndio hutukanwa kwa kuwa wao nyumba zao ndio mitandao ya kijamii..wanatakiwa kujua kuwa wanatakiwa kuwa na ngozi ngumu kama watageuza mitandao ya kijamii kama nyumba zao.

Mimi nasema wataendelea kuwatukana na kuwadhalilisha kila leo kama hamtobadilika na wala hakuna atakaye waonea huruma.

word.....
 
warumi@evelyn salt@nk johari ana mimba jamani
 
Last edited by a moderator:
Usikate tamaa...soma Mwanzo 17:16 "Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki......" Sara alipata mtoto akiwa na umri wa miaka tisini.
 
Mwanzo ulikuwa jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko so nikamuomba mods aulete jukwaa la Celebrities ndio maana unaona hizi message nyingi zimehamishwa kutoka jukwaa la habari na hoja!JIONGEZE WAKATI MWINGINE mwaJu wa ukweli
 
Last edited by a moderator:
hii ni forum gan etiii

jiongeze wakati mwingine chalii!unashindwa kuelewa kwamba hiyo sms na sms za watu wengine zimehamishwa kutoka jukwaa lingine?baadhi ya sms zimetolewa jukwaa la habari na hoja mchanganyiko zimeletwa huku na hiyo sms nilimuomba moods aulete huku celebrities ndio maana unaona hivyo.LINGINE??
 
hahahaaa thina lingine mkuu.
mbona hasira best. hebu kaa upate glass moja ya maji then uje na comment tena. RELAX
 
Ukipanda mahindi huwezi vuna maharage! Centi kidogo zinawatia kiburi mara sina mpango wa kuzaa nk ' watch what you say, think b4 you speak.......' Maneno ya mdomo wako ni ufunguo au kufuli la maisha yako.
 
"Imani bila matendo imekufa"- Mungu ameweka mpango wa ndoa kuwa ndio njia aliyoikubali ya kuanzisha familia,kwa hiyo kuzaa bila kufunga ndo ni dhambi mbele za Mungu,hivyo usitegemee kwamba Mungu ataibariki dhambi ili akufurahishe wewe mwanadamu, Mungu ni yule yule hawezi kubadili viwango vyake vya uadilifu. Badili njia zako mbaya na umrudie Mungu wako uone kama hatasikia kilio chako.
 
Back
Top Bottom