Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajasema chanzo cha kutopata mtoto???
Muombe mungu km hukuwahi toa mimba basi mlilie yeye.kuna dada alikua hapati mimba akawa analia emungu nipe mtoto awe vyovyote vile misawa tu hata km hana macho.ck 1 akashika mimba akajifungua akamshukuru san mungu mtoto alivyo anza kutembea akawa mtundu kupitiliza mchana halali anakojoa nakunya ndani anavunja vyombo yani anafanyavituko mpaka yule mama akawa analia alivyo choka akasema emungu nimtoto gani huyu ulie nipa mm mbona niwaajabu hakukaa sn mtoto akiwa na miaka3akafa hadi leo hana mtoto naanakiri alimkosea mungu huyo mama yupo njombe kwahiyo wema km hukuwahi kutoa mimba omba san mungu atasikia kilio chako.
Mungu kama alikupangia kuzaa watoto wawili af wewe umeshaua saba unamdai nini ss??? Hizo mbinu zako mkuu hazitafanya kazi....acheni umalaya na uuaji wa malaika wa Mungu.
Huku ni kutafuta huruma tuu hakuna lingine! Mimi nasema waache waendelee kutukanwa maana ndio maaisha walio chagua ya kutukanwa.
Hivi anafikiri yeye ni star wa kike pekee hasiye na mtoto? Mbona wengine hawatukanwi? Anatakiwa kujua anaponzwa na style yake ya maisha aliyo chagua kwa hiyo kulia lia hakuto msaidia labda kubadili style ya maisha.
Kuna watu wamekuwa wakitukanwa na kudhalilishwa kwa mgogo wa kumtetea yeye na wamekuwa wakiumizwa sana..na wao pengine wana dhalilishwa kwa kuwa ni style ya maisha walio chagua hivyo hawatakiwi kulialia na kumhusisha Mungu kwa mambo yao ya kipuuzi yanayo tokana na style yao ya maisha.
Mastaa wengi wa bongo na Wema akiwemo wamegeuza mitandao ya kijamii kama nyumba zao...humo ndimo kuna sebure;chumba na bafu...hivyo kila kitu wana kifanyia kwenye mitandao ya kijamii!
Kwakuwa wameigeuza mitandao ya kijamii kama ni sehemu ya maisha yao yani hawawezi kufanya jambo bila kuhishirikisha mitandao ya kijamii..kwa hiyo wana vuna wanacho panda kila leo.
Ni ajabu sana kuona mtu anashangaa kuvuna alicho panda..wanafikiri kuwa matokeo yatakuwa matamu tuu...Haya ndio matokeo ya kugeuza mitandao kama familia yao kwa hiyo waache kulialia na kutafuta huruma kwa kupewa walicho kipanda..
Kama walio kuzunguka huwatukana wengine lazima siku na wewe utatukanwa na wengine walio wazunguka wengine..Mimi simuonei huruma hata chembe anaye vuna aliyo yapanda kila leo.
Watu wanafikiri wao pekee ndio hutukanwa kwa kuwa wao nyumba zao ndio mitandao ya kijamii..wanatakiwa kujua kuwa wanatakiwa kuwa na ngozi ngumu kama watageuza mitandao ya kijamii kama nyumba zao.
Mimi nasema wataendelea kuwatukana na kuwadhalilisha kila leo kama hamtobadilika na wala hakuna atakaye waonea huruma.
mods please tunaomba huu uzi uupeleke Celebrities forums
hii ni forum gan etiii
jiongeze wakati mwingine chalii!unashindwa kuelewa kwamba hiyo sms na sms za watu wengine zimehamishwa kutoka jukwaa lingine?baadhi ya sms zimetolewa jukwaa la habari na hoja mchanganyiko zimeletwa huku na hiyo sms nilimuomba moods aulete huku celebrities ndio maana unaona hivyo.LINGINE??
hahahaaa thina lingine mkuu.
mbona hasira best. hebu kaa upate glass moja ya maji then uje na comment tena. RELAX
Kula ujana weeee mwisho wa siku mayai unakaangia chips..!!
warumi@evelyn salt@nk johari ana mimba jamani