Wema sepetu sio msanii wa kweli sisi tunamwita msanii wa magazeti

Wema sepetu sio msanii wa kweli sisi tunamwita msanii wa magazeti

upendo_20

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
1,433
Reaction score
48
Wadau haiwezekani msanii wa kweli kila siku awena maskendo tu hayana kichwa wala miguu akenda kwenye hotel anawapigia wandishi wa habari wamfate wakamfumanie na mabwana watoe kwenye magazeti wasanii wa ukweli hawana mashauzi kama yeye kila siku kwenye magazeti yule alipo ona biashara yake kwenye u miss hana soko akajiunga bongo movie ili apate mabwana lakini kiukweli sio msanii na hajui ku act hata kidogo uzuri wake ndio unamlinda kwenye bongo movie na kugawa uroda kwa makubwa kwenye movie amezungusha na wasanii wote unao wajua wewe tz
 
Join Date : 1st August 2013
Posts : 18

Rep Power : 305

Likes Received
0
Likes Given
0

amekuchukulia bwana nini
 
Back
Top Bottom