Wema Sepetu: Sitamani mtoto tena kama zamani

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Muigizaji huyo ameyasema hayo Ijumaa hii akiwa kwenye uzinduzi wa kipindi kipya cha Nipe Code ambacho kitaoneshwa kupitia king’amuzi cha @startimestz .
Your browser is not able to display this video.
 
Huo mzigo wa wigi la nini sasa mtu umeshakongoloka? Ujana maji ya moto tayari yameshapoa. Ukishakuwa cha wote hakuna mwanaume atakuwa na mpango na wewe wa maisha tena maisha yenu ya social media hayo kila ufanyacho na mwanaume lazima uweke mitandaoni. Muda umekwenda na haurudi tena! Utakuwa bibi bomba muda si mrefu
 
huyu demu mzuri sana..... anitafute nimjaze mapacha maana anapata shida mno.
 
Huyo mdada atakuwa na matatizo makubwa Sana kwenye ngono yani anasema kuwa hivi mtu Kama Mimi naweza nikawa sipo kwenye mahusiano kweli? Akimaaanisha kuwa yeye ngono ni lazima ndio kipaumbele chake Wakati unawakuta wadada wengi tu hawana habari na wanaume wala kuwa na habari Ya ngono, Lakini najiuliza Kama anapenda Sana ngono si aolewe tu? Mbona umri umeeenda? 30yrs atakuwa kafika si aolewe? Eti mtu Kama Mimi siwez kuwa sina mwanaume wa ...... Uwiiiiiiiii MUNGU muokoe huyu mdada jamani mbona ni Mzuri kilimkuta nini?
 
She has given up already. Hakuna kitu kibaya kama kuwa hanging.
 
Usitupe mbachao kwa msala upitao
Umegundua muda umeenda au ulipunguza mayai yote kwa kuflash
Fuata ushauri wa Victoire
 
Hivi wanaume wa dar ilikuwaje mkashindwa kumpa mimba Wema Sepetu?
 
Kumbe Ni chawote vp wewe umeshamt.o.mba Mara ngapi mkii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…