anatumia jina la diamond kijinufaisha bila ridhaa yake, haipiti wiki bila kumtaja jamaa
Umehadimika balaa...
Wema alikuwa anajaribu kikamba diamond akaharisha.
Alidhani diamond anatembelea nyota yake,yupo na diamond halafu anahongwa bmw, alidhani atafanya usanii kula pande zote,diamond akamove on mazima,hhahaa halafu ubaya akampata mkali kuliko wema.I'm sure wema akiona picha ya zari anahisi hisi kujisaidia kwa wivu
Maumivu ya mapenzi hayakuanzia kwa Wema. Ni wengi wameumizwa na mapenzi hata wakabaki na kiwewe na wengine kutoona thamani ya kuishi kabisa na kuishia kujitundika sembuse Wema ambae yupo alive na anafanya mambo yake. Think positively na umchukulie kama mwanamke wa kawaida.
Honestly uko na mpenzi wako then unasikia anaongea kwenye media hana mpango wa kuoa si kesho wala keshokutwa......utaendelea kujishikiza tu?
kila wiki lazima amtaje

Mpaka kifesi alipata ujasiri wa kusema humu ati Diamond hawezi kumuoa Wema! heaven on desert anajua mambo ya ndani kabisa ya diamond.
Mpaka kifesi alipata ujasiri wa kusema humu ati Diamond hawezi kumuoa Wema! heaven on desert anajua mambo ya ndani kabisa ya diamond.
Ni yeye tu anayeangaika na DIAMOND,lakini DIAMOND hana muda wa kumuongelea wala kujihusisha na lolote linalomuhusu huyu mal..........
Mpaka kifesi alipata ujasiri wa kusema humu ati Diamond hawezi kumuoa Wema! heaven on desert anajua mambo ya ndani kabisa ya diamond.
Huyu nae pyeeee hicho kipindi lazma amtaje diamond utadhani ndo mdhamini wa kipindi....
afu kwani lazma aseme kama prince alimuomba sapoti teh uswahili huu
Wema bado ni mtoto sana na akili za uswahili zimemuharibu. Diamond hana haja ya kumuomba yeye Wema personally kwa sababu suala lililopo ni la utaifa na si la ubinafsi. Anapaswa kutofautisha maisha binafsi na kazi za Diamond. Pengine angepaswa ajiulize ni kwa nini Diamond hasikiki akiongelea hayo masuala hadharani. Diamond si mjinga bali anatambua ukianza kuingiza mambo binafsi ukachanganya na kazi lazima uharibu. Halafu ni ajabu mtu anayetaka kuwa mbunge tena kwa kutumia kigezo kwenda kutetea wasanii ndie anakuwa mtu wa kwanza kuacha kuhamasisha watu wampigie kura Diamond ili ailetee sifa sanaa ya Tanzania na taifa kwa ujumla. Zile tunzo zina maana kubwa kwa ukuaji wa sanaa Tanzania. Mbunge kiongozi wa wananchi analeta matatizo yake binafsi katika kulirudisha nyuma taifa kimaendeleo.