Wema Sepetu: Siwezi kumsapoti Diamond kwenye MTV Awards, nitaonekana ninajipendekeza

Wameshanichosha mimi hao.........
Hebu nipe diet nipungue........unene umenikithiri............
mi mwenyewe nnahangaikia diet yani tangu nipige ile hela...naona naota kitambi, nahisi na kipara kipo njiani
hebu njoo hapa sakina bar tule kuku choma na castle lite wakati tunadiscuss hili la diet
 
Na hii baridi.......nahitaji supu ya kongoro au mkia.......na ndizi mbili........diet muhimu aisee.......tena tufanye ile ya matunda tu kama tumbili........mwenyewe si unamuona shepu lake.............
 
mi mwenyewe nnahangaikia diet yani tangu nipige ile hela...naona naota kitambi, nahisi na kipara kipo njiani
hebu njoo hapa sakina bar tule kuku choma na castle lite wakati tunadiscuss hili la diet

aisee nipo arusha nimeamishiwa huku kikaz tokea january, itanibid nikuwatafute mnionyeshe mji, ........
 
Mi nmekuja kutembea tu, soon narudi kwangu nsangamwalugesha...preta atakupa mapokezi motomoto if you are singo not dabo lakini
 
Wema amepatikana mwaka huu!sikutegemea kama anaweza patikana mwanamke kijeba wa kubet na Wema aisee juu ya diamond!maana alikuwa anamfanya anavyotaka!leo anamwacha kesho anamrudia!duuh wema alimpeleka diamond aisee!!!

Leo hii haamini kama kweli ndege wake ameruka mazima!!licha ya Zari kuishi nje ya nchi na diamond bongo hapahapa lakini madame ameshindwa kurudisha U-qeen wake!!
 
Alitishia kujamba masikini....
 
Alitishia kujamba masikini....

Ahahaha madame alikuwa na mamlaka bwana!alikuwa akifika kwa platnum akisema tu huyu housegirl simtaki basi chibu haulizi kwanini humtaki!ni kumpa nauli binti wa watu asubuhi kwao!!

Katika wanawake ambao walitakiwa wamchukie diamond kwa sana ni Peniel!maana hakuwahi kumtenda diamond na alijiheshimu sana tu sema kaka yetu ndio vile mahaba kwa Wema yalikuwa makubwa basi akambaga dada wa watu

Alidhani kwa Zari itakuwa hivohivo lakini ameshindwa pale!!
 
Maumivu ya mapenzi hayakuanzia kwa Wema. Ni wengi wameumizwa na mapenzi hata wakabaki na kiwewe na wengine kutoona thamani ya kuishi kabisa na kuishia kujitundika sembuse Wema ambae yupo alive na anafanya mambo yake. Think positively na umchukulie kama mwanamke wa kawaida.

Honestly uko na mpenzi wako then unasikia anaongea kwenye media hana mpango wa kuoa si kesho wala keshokutwa......utaendelea kujishikiza tu?

Your very bright indeed
 
Ahahaha madame alikuwa na mamlaka bwana!alikuwa akifika kwa platnum akisema tu huyu housegirl simtaki basi chibu haulizi kwanini humtaki!ni kumpa nauli binti wa watu asubuhi kwao!!

Katika wanawake ambao walitakiwa wamchukie diamond kwa sana ni Peniel!maana hakuwahi kumtenda diamond na alijiheshimu sana tu sema kaka yetu ndio vile mahaba kwa Wema yalikuwa makubwa basi akambaga dada wa watu

Alidhani kwa Zari itakuwa hivohivo lakini ameshindwa pale!!
Labda penny hajui kubilinga bilinga nanii afu diamond ndo anavotaka ha ha ha
hata kidoti nae aliachwa tu kwenye mataa ila ye kashfa ake si wasikiaga pia eti ana kisima
 
Another Great News from @YFm South Africa... Your
favorite Song #NaNa is No.1 on # AfficialTop5Countdown
# AfricaBoomBoxx ..
(Habari nyingine Nzuri toka Radio @Yfm South Africa ni
kuwa Nyimbo yako pendwa #NaNa iko nafasi ya kwanza
katika Nyimbo Tano Bora Africa....) Bonyeza link juu ya
BIO yangu kuona idadi ya watu walio itazama hapa
https://youtu.be/IflpfcHmq5I
 
Jibu rahisi..."sipo tayari kumzungumzia naseeb" baaaas akiendelea kujibu kila anapoulizwa atamtaja hadi uzeeni

unampangia cha kufanya wewe kama nani? kila binadamu ana uhuru wa kufanya kile apendacho period. Why mumpangie mtu maisha? kwani amefanya dhambi? we live in a free world....let people be abegoo
 
mama ubaya umeanza kuboa sasa haipiti wiki huja mtaja chibu nimeamini kwa upande mwingine nawewe anakusaidia coz ukimtaja tu watuwengi lazima waangalie kipindi chako una mmic ex wako unajikaza tu yule mganda kashajua utamu wake hamuachi we vigodoro na ulevi vitakuzeesha... sijui tutaoa nani midemu yote pasua vichwa.
 
unampangia cha kufanya wewe kama nani? kila binadamu ana uhuru wa kufanya kile apendacho period. Why mumpangie mtu maisha? kwani amefanya dhambi? we live in a free world....let people be abegoo
Mrembo mi najua una mahaba ya kufa mtu kwake, wala hapangiwi na mtu kitu cha kufanya wala cha kusema ndo maana hadi leo haachi kumuongelea, sasa si umesema anaulizwa? Hata hivo sidhan kama anaulizwa naona anajiuliza tu aendelee ila ndo atamtaja hadi anaota mvi
 
Mhhh hawa ------- wanajuana Diamond kaimba wimbo wa kuwa anaumia kumkosa wema majanga haya
 
Labda penny hajui kubilinga bilinga nanii afu diamond ndo anavotaka ha ha ha
hata kidoti nae aliachwa tu kwenye mataa ila ye kashfa ake si wasikiaga pia eti ana kisima

kisima au kisimi?
 
Back
Top Bottom