Mi sio fan wa Kiba but haya maneno ya wema kila siku kusema kiba alimuomba amuombee kura sio vyema hata kidogo,waliongea privately haikua na haja kufanya matangazo nadhani hata Kiba anaweza kuona utoto wa Wema hafai kifanya nae deal anapenda sana publicity za kixnge xenge,ok poa kiba kaomba amsapoti then apige kimya sio kila siku matangazo ni kupenda sifa za kilofa!
hahahhhaaa umetisha mkuuHuyu wema ana nyota ya jamvi.....yaan analaliwa na wanaume alaf anaachwa.....ameshapanic hapa mjini watoto wa kike wanafatwa kwa matarumbeta ila yeye anafatwa na nzi
Prince ndo nani tena mkuu.
Huyu nae pyeeee hicho kipindi lazma amtaje diamond utadhani ndo mdhamini wa kipindi....
afu kwani lazma aseme kama prince alimuomba sapoti teh uswahili huu
Ni yeye tu anayeangaika na DIAMOND,lakini DIAMOND hana muda wa kumuongelea wala kujihusisha na lolote linalomuhusu huyu mal..........
Wao wote hamna aliyetulia,na hata kama diamond kusema hamna mpango wa kuoa inawezekana walikuwa hawaelewani hajakurupuka tu
Basi ndo ujue akufukuzae hakwambii toka wala msimseme Wema eti alitishia kujamba mwenzie akaharisha!
Hata kama mtu hajielewi kauli kama ile lazima mtu ikuume!
Mswahili sana afu anajiona mungu mtu, bila yeye mambo hayaendi shwain zake...waongee pembeni af ye anayaanika hadharani, huyu ni bure kabisaJana pia alinikera kusema tena kuwa Vannesa alimuomba ampost...kwakweli sikuona sababu ya yeye kusema vile..yaani huyu binti hana siri kabisa anapenda sifa sana...
Prince ni ally kibaPrince ndo nani tena mkuu.
Huyu nae pyeeee hicho kipindi lazma amtaje diamond utadhani ndo mdhamini wa kipindi....
afu kwani lazma aseme kama prince alimuomba sapoti teh uswahili huu
Mi sio fan wa Kiba but haya maneno ya wema kila siku kusema kiba alimuomba amuombee kura sio vyema hata kidogo,waliongea privately haikua na haja kufanya matangazo nadhani hata Kiba anaweza kuona utoto wa Wema hafai kifanya nae deal anapenda sana publicity za kixnge xenge,ok poa kiba kaomba amsapoti then apige kimya sio kila siku matangazo ni kupenda sifa za kilofa!
Jana pia alinikera kusema tena kuwa Vannesa alimuomba ampost...kwakweli sikuona sababu ya yeye kusema vile..yaani huyu binti hana siri kabisa anapenda sifa sana...
Mama ubaya si alisemaga yeye ni shabiki wa domo na huwa anasikiliza sana muzik wake kwenye gari, sasa kwa nini hasimsapoti? Au ilikuwa unafiki xiewww mbwa kabisa huyo, na akipata ubunge naenda kulipua bunge zima
warumi. Umenichekesha et naenda kulipua bunge zima!... Kwenye interview za yy na zamaradi ngachoka mie!. Demu anaonyesha ni jinsi gan anaweweseka na penzi la dangote, ooh mara nilimpenda sana mara nilitaka nimzalie mtoto! Dah anatia huruma sio siri.Mama ubaya si alisemaga yeye ni shabiki wa domo na huwa anasikiliza sana muzik wake kwenye gari, sasa kwa nini hasimsapoti? Au ilikuwa unafiki xiewww mbwa kabisa huyo, na akipata ubunge naenda kulipua bunge zima
Prince ni ally kiba