Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
mi mwenyewe nnahangaikia diet yani tangu nipige ile hela...naona naota kitambi, nahisi na kipara kipo njianiWameshanichosha mimi hao.........
Hebu nipe diet nipungue........unene umenikithiri............
mi mwenyewe nnahangaikia diet yani tangu nipige ile hela...naona naota kitambi, nahisi na kipara kipo njiani
hebu njoo hapa sakina bar tule kuku choma na castle lite wakati tunadiscuss hili la diet
mi mwenyewe nnahangaikia diet yani tangu nipige ile hela...naona naota kitambi, nahisi na kipara kipo njiani
hebu njoo hapa sakina bar tule kuku choma na castle lite wakati tunadiscuss hili la diet
Mi nmekuja kutembea tu, soon narudi kwangu nsangamwalugesha...preta atakupa mapokezi motomoto if you are singo not dabo lakiniaisee nipo arusha nimeamishiwa huku kikaz tokea january, itanibid nikuwatafute mnionyeshe mji, ........
Mi nmekuja kutembea tu, soon narudi kwangu nsangamwalugesha...preta atakupa mapokezi motomoto if you are singo not dabo lakini
Mmmh hata sina, ametoa madera yake nae?? Bila shaka umenunua ha ha ha make mahaba yako kwake ni AShoga una picha ya dera ya muheshimiwa mbunge wa viti maalum
Alitishia kujamba masikini....Wema amepatikana mwaka huu!sikutegemea kama anaweza patikana mwanamke kijeba wa kubet na Wema aisee juu ya diamond!maana alikuwa anamfanya anavyotaka!leo anamwacha kesho anamrudia!duuh wema alimpeleka diamond aisee!!!
Leo hii haamini kama kweli ndege wake ameruka mazima!!licha ya Zari kuishi nje ya nchi na diamond bongo hapahapa lakini madame ameshindwa kurudisha U-qeen wake!!
Alitishia kujamba masikini....
Maumivu ya mapenzi hayakuanzia kwa Wema. Ni wengi wameumizwa na mapenzi hata wakabaki na kiwewe na wengine kutoona thamani ya kuishi kabisa na kuishia kujitundika sembuse Wema ambae yupo alive na anafanya mambo yake. Think positively na umchukulie kama mwanamke wa kawaida.
Honestly uko na mpenzi wako then unasikia anaongea kwenye media hana mpango wa kuoa si kesho wala keshokutwa......utaendelea kujishikiza tu?
Labda penny hajui kubilinga bilinga nanii afu diamond ndo anavotaka ha ha haAhahaha madame alikuwa na mamlaka bwana!alikuwa akifika kwa platnum akisema tu huyu housegirl simtaki basi chibu haulizi kwanini humtaki!ni kumpa nauli binti wa watu asubuhi kwao!!
Katika wanawake ambao walitakiwa wamchukie diamond kwa sana ni Peniel!maana hakuwahi kumtenda diamond na alijiheshimu sana tu sema kaka yetu ndio vile mahaba kwa Wema yalikuwa makubwa basi akambaga dada wa watu
Alidhani kwa Zari itakuwa hivohivo lakini ameshindwa pale!!
​MalkiaMalapa au?
Jibu rahisi..."sipo tayari kumzungumzia naseeb" baaaas akiendelea kujibu kila anapoulizwa atamtaja hadi uzeeni
hadi hapo anajipendekeza tu,kumtajataja mtu asiye na time na wewe
Mrembo mi najua una mahaba ya kufa mtu kwake, wala hapangiwi na mtu kitu cha kufanya wala cha kusema ndo maana hadi leo haachi kumuongelea, sasa si umesema anaulizwa? Hata hivo sidhan kama anaulizwa naona anajiuliza tu aendelee ila ndo atamtaja hadi anaota mviunampangia cha kufanya wewe kama nani? kila binadamu ana uhuru wa kufanya kile apendacho period. Why mumpangie mtu maisha? kwani amefanya dhambi? we live in a free world....let people be abegoo
Mhhh hawa ------- wanajuana Diamond kaimba wimbo wa kuwa anaumia kumkosa wema majanga haya
Labda penny hajui kubilinga bilinga nanii afu diamond ndo anavotaka ha ha ha
hata kidoti nae aliachwa tu kwenye mataa ila ye kashfa ake si wasikiaga pia eti ana kisima