Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?


basi dada basssss baaasss
mi hapa team wema ila leo simtetei jamani tafadhali
spare me
 
Hizi sinema za bongo usishangae mama kajala naye kuja na verse yake
 
Kwa hili sitoshangaa maana katukanwa....!!

Usione mama anatetea binti yake usikute naye anamtegemea binti yake kutokana pesa za skendo,au binti akihongwa mama naye anapata kifuta jasho
 
basi dada basssss baaasss
mi hapa team wema ila leo simtetei jamani tafadhali
spare me

Hahah....wape salam na wenzako...kama mnampenda sana muanzishe saccos ya wema...muwe mnamchangia kila mwisho wa mwezi hela za kula bata maana ck kuwa na kajala kunampa pressure bado..atulie na huyo domo wake.sio kumsupport kwa kutukana wengine...wenzako wapo wanasoma kimya kimya ila wameelewa tu..mumuache kajala miaka 1000 heheheheheheiiiiiya...
 
Usione mama anatetea binti yake usikute naye anamtegemea binti yake kutokana pesa za skendo,au binti akihongwa mama naye anapata kifuta jasho

Ni sawa lakin kama mtu mzima staha muhimu.....
 
Bado haiingii akilini kumtaja kajala km mme wa mtu kwny kpnd mhm km iki ilo shankupe wema linasaka ndoa ya ndomo km litaweza....ni aibu ya mwaka
 

Yaani huyu mama nahisi enzi za ujana wake alikuwa mcharuko hashikiki.Na hiyo tabia IPO kwenye damu naona.
 

NDo nilikuwa nashangaa juzi team wema inavyopiga makerere humu wamefuraia malaya mwenzao kahongwa magar mawili, yani kabisa mtu unafuraia magar ya kupewa bure halafu kesho unapokonywa mmh, mi ndo toka atudanganye na magar ya kifahar kuwa ni yake na nyumba ya mil 400 ata kesho aje na hadith gan simwamin, akazane kufanya kaz hata akinunua vits kwa pesa yake c haba
 
Usione mama anatetea binti yake usikute naye anamtegemea binti yake kutokana pesa za skendo,au binti akihongwa mama naye anapata kifuta jasho

Sio usikute, mama wema anawekwa mjin kwa pesa za umalaya za mwanae, sasa kaona bonge la bwana kakimbia ndo mapovu yanamtoka, umalaya tu mzee mzima ovyo
 

tehe tehe tehe
jamani wenzangu mmesikiaaaa...???!!!!
tuanze kumkanya mama kwanza ajiheshimu mana mtu mzima hovyoooo....!!!
 
Kama wao wanajisifia rangi nyeupe basi ubuyu usingepakwa rangi.Eti mama mtu anauliza me nna madoa mimi??sasa sisi tutajuaje??au kuna watu waliomvua nguo wapo pale??

kakutibua kweli mama wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…