Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Haya maneno unamwambia nani???
kuna mtu alikua anashabika maneno ya mam wema sio wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno unamwambia nani???
Tenaaaaaaa...tim mavi mavi wako api....mxeeeeeeeeeew....wema wema..eti nampenda wema....ovyooooo...wanaacha kupenda vya maana wanapenda taka taka...labda waclarify unapenda domo la wema...au shepu...au anavyouza kote mbele na nyuma....mie sina team lakin hawa funda wa wema wananitifua mpaka mk...ni....mxeeeeeew
Haya maneno unamwambia nani???
basi dada basssss baaasss
mi hapa team wema ila leo simtetei jamani tafadhali
spare me
kuna mtu alikua anashabika maneno ya mam wema sio wewe
Leo umeivaa spidi 19999000000 atakaejilengeshaaa analoooo aiseee
Hizi sinema za bongo usishangae mama kajala naye kuja na verse yake
Kwa hili sitoshangaa maana katukanwa....!!
basi dada basssss baaasss
mi hapa team wema ila leo simtetei jamani tafadhali
spare me
Usione mama anatetea binti yake usikute naye anamtegemea binti yake kutokana pesa za skendo,au binti akihongwa mama naye anapata kifuta jasho
Wasilete uhuni....kuna watu wahuni zaidi yao ingawa uhuni si sifa nzuri.Mama unaongelea habari ya kuuguza mume mbele ya hadhara ili tukusaidie nini???
Wakati unatumbua nae mbona hukutangaza ili uje usaidiwe.Ndoa ni shida na raha sasa usifurahie mavuno tu na kupalilia pia ujue.Nyoooolo you
Yaani huyu mama nahisi enzi za ujana wake alikuwa mcharuko hashikiki.Na hiyo tabia IPO kwenye damu naona.
Mbona leo wamelala..,wako api hao mapakashume wa wema...tim nyokonyoko wameamia mtaa upi....hivi kweli mdada unajielewa upo busy unamshabikia wema...??na wew si walewale...kama kuna tim Wema humu lambeni ndimu..tena mkazikwee kkoo kwa jumla...mnanichosha,...huyu ndo wa kuigwa............ngoja niishie hapa
Usione mama anatetea binti yake usikute naye anamtegemea binti yake kutokana pesa za skendo,au binti akihongwa mama naye anapata kifuta jasho
Hajui ku quote??nilijua alikuwa anakwambia wewe ujue.Haya bwana
Hahah....wape salam na wenzako...kama mnampenda sana muanzishe saccos ya wema...muwe mnamchangia kila mwisho wa mwezi hela za kula bata maana ck kuwa na kajala kunampa pressure bado..atulie na huyo domo wake.sio kumsupport kwa kutukana wengine...wenzako wapo wanasoma kimya kimya ila wameelewa tu..mumuache kajala miaka 1000 heheheheheheiiiiiya...
Kama wao wanajisifia rangi nyeupe basi ubuyu usingepakwa rangi.Eti mama mtu anauliza me nna madoa mimi??sasa sisi tutajuaje??au kuna watu waliomvua nguo wapo pale??