Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Ayaaaaaa
Hiv unajua nilikuwa Cjakusoma kabisa. ..
Yaani ningejya c tungeenda wote nulikosa kampani navyompenda lissu dah!!
Nway Ckunyingine uwe unanistua wangu

Yaani nilibarikiwa hatari.....Lissu ni balaa,alafu solomon mukubwa nae alinibariki sana bila kumsahau Mwasongwe + Ephraim sekereti
 

Nimemsamehe bure Wema baada ya kujua ni mixer ya kinyamwezi na kinyaturu.Wanyamwezi ni watu wa mashauzi sana, yani ni wale watu wa show off kila kiingiacho mjini anataka kumiliki, wanyaturu nao ni mwendo wa kuvua pichu...so yule hawezi kubadilika..kaka yangu Chibu ajipangee tuu...

Ila kuhusu mama.....naheshimu wamama wote duniani, siwezi kumpiga laana mama wa mwenzangu...hakuna mkamilifu thats all.
 

Hayo makabila kwa dawa za limbwata,umalaya, ni bhiyatare,ndio maana wako hivyo ni kuachana naooo mi washanichoshaaaa
 
Huna lolote......msambinungwa.Umelala doro mtalimbo.Ck kagonga hapo kaamua atembee kwa mtoto k rangi chocolate,umbo no 8,yaani mtoto anaita.

Sio huyo boko haramu wenu.....fulu mistari kama pundamilia.Mnxxxxxssssy

Eeeeh! Mtoto kadata mpaka anatamani mumewe angefia hukohuko.....anajuta kwann CK aliwahi maisha na yy kwann ameolewa yani!!!! Na kwako ww kwa kufuata mfano wa boss wako.....mwanaume atakaye kuoa atakushindwa na huo mdomo ndio usiseme! Utaishia kugongwa na kuachwa, sana sana utakuwa unaambulia nauli ya usafiri tu!!!! Bye bye...
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa. Huyu mama ni shangingi. Mtu mzima huwezi kutamka tusi kubwa namna hiyo, tena mbele ya mwanao wa kumzaa.

Huyo mama na shigongo kutwa wanavuta ndumu tena maskani yao Displine Camp sasa unategemea nini...
 
Huyo mama na shigongo kutwa wanavuta ndumu tena maskani yao Displine Camp sasa unategemea nini...

Nilikuwa sijaiona video..nilisikiliza tu audio mwanzo, atakuwa alilewa yule mama na inawezekana ndumu anavuta...

Ila kusema kweli kajinye.a jamani...yani ana neema hadi zinamwagikaaa...anazeeka nazo......!
 

Du,Tanzania tuna vituko balaa dada yangu kweli umetoka utokako kuja kumtetea huyu bibi.Tafuta kazi ya kufanya msitegemee papuchi kama Wema ( role model wako) maana hizo zinachokwagwa na mpya zinaingia sokoni.
 
Du,Tanzania tuna vituko balaa dada yangu kweli umetoka utokako kuja kumtetea huyu bibi.Tafuta kazi ya kufanya msitegemee papuchi kama Wema ( role model wako) maana hizo zinachokwagwa na mpya zinaingia sokoni.

Hizo papuchi ww huusiki!? Papuchi unapenda halafu unataka bure bure....wajinga waliwao! Kama unaona bure ndio mpango, fanya na ww ugawe bure! Out of topic....na wasiwasi na ww kama ni mwanaume halisi....naona imekuuma! Kama unapenda raha tafuta pesa kwa bidii ili usiogope kutumia, upate raha!!!
 

Mimi si mwanaume halisi tu pia ni rijali pia.Kuna wenzako walikuwa hivyo hivyo waliona mtaji hiko kiungo baada ya kuzalishwa wanatupa tabu sisi wajomba kwa watoto wasiowaweza kuwatunza kutokana mtaji umekufa na kwenye biashara zenu wameingia wapya.Ushauri wangu tafuta hata kaujuzi kakae kichwani kwenye hivi vicollege vya ghorofa moja vinavyotangazwa kwenye matv maana inaweza kukusaidia mpaka unapoenda kaburini.Hapo kote nilivyokuelezea sikukuekea hatari ya HIV/AIDS.
 
Mwanaume rijali unashinda humu kwenye vigodoro vya watoto wa kike! Narudia kusema.....WAJINGA NDIO WALIWAO!!!! Thanx for the advice.....na ww endelea kushoboka humu!!!!
 

binAmu usiongee na mbwa bwana....!!
 
Mwanaume rijali unashinda humu kwenye vigodoro vya watoto wa kike! Narudia kusema.....WAJINGA NDIO WALIWAO!!!! Thanx for the advice.....na ww endelea kushoboka humu!!!!

Natumia simu na situmii kompyuta na pili nipo likizo na tatu ujue kazi zetu zinatofautiana,kwakuwa umekariri na huwezi kufikiria nje ya box na nitashinda humu as long as napata muda wa kuwapa ushauri watu kama nyie tuokoe kizazi chenye mentor wao waongofu.
 
Kwani hilo tukio unadhani linamuda gani limetokea!? Kama imemuhusu ataongea bado muda upo, na kama anajua haijamhusu hawezi kuongea cha ajabu mashankupe wanakaa kuongelea wengine!!!!!

mama ako hana hekma
hana busara,hajielewi km ye mtu mzima na upeo finyu kifikra,
Na kmmlihisi watu watamtetea kwa ujinga ule poleni sana
ukweli roho inamuuma ck kuwatosa nyie lieni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…