Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Wamejifungia, maana hamna hata mtu anayemtetea bibi wa watu mpaka nataka nijitolee kwa mkopo kumtetea ila nikifikiria kifurushi cha matusi nitakachoporomoshewa bora tu nifunge zip mdomo.Madame karibu castle milk stout.
Hivi mtu anaanzaje kumshabikia mtu ambaye hajui hata kama duniani kuna jina kama lake?
....Asante, karibu kipilau cha Eid.
Waache wafu wazike wafu wenzao.....Sie hai tuwazike marehemu wetu.
Mjini cha bure salamu tu, vingine vyote 'Pay First'