Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Wema alishiriki u-miss akiwa na miaka 17, ilikuja kugundulika baada ya wapambe ambao hawakupenda ashinde yeye walikuwa wanamtaka JOKATE, wakachunguza na kuweka wazi Lundenga alipata wakati mgumu sana maana VODACOM walitaka kufuta idhamini, Lundenga akatupa hayo madai na akaishia kusema tu 'HAYA MASHINDANO YANAENDESHWA KWA GARAMA KUBWA SANA TUACHE WIVU" waka acha kubatilisha matokeo lakini wema alikuwa under age kushiriki umiss
hata mimi nakumbuka hilo sekeseke la umri wa wema kuwa under age alipopewa taji, hata me nimeshangaa kusema ameturn 26 while from 2006 with that 17 now ni 25, ukubwa wa umbo tu.