Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

hapo kwenye bold... kuna mtu aliwahi kuleta thread kwamba IQ za watoto zinategemea sana IQ ya mama, siyo ya baba... so muwe waangalifu mnapotafuta mama wa watoto wenu

Yani umesema ukweli tabia y maza kma y mwanae namuomba mungu anipe mke mwenye mwema n mwenye heshima
 
Hahahaa eti ndala za m.kwere.Umeona eeee!!

Yaani ashukuru urefu unamsaidia angekuwa mfupi yule angekuwa kituko hatariii!!

jamani, pamoja na mapungufu ya tabia na malezi wema ni mzuri kwa jinsi yake, sema kajiharibu na mkorogo... kajala naye ni mzuri. urefu nao ni kigezo cha uzuri, maana wasichana wachache sana wamejaaliwa height za hivyo.
 
Huyu mama angekaaga mbali na media,,atakuja kuaibika masuala ya watoto haya.
 
Aibu kwao.....wachonganishi.Na je mama watoto wanapogombana ukamchapa mtoto wa jirani na mpaka ukamtukana mama wa huyo mtoto,baadae watoto wakaelewana na kucheza pamoja.Kama mama utajisikiaje???

Kwanza siku hizi wema insta anaiona chungu..tangu diamond alivyopostigi kuhusu tabia zake zisizompendeza....ukichanganya na hili ndo weee ht pic za birthday hajapost....aibuuuu
 
Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.
Wema alishiriki Miss Tanzania 2006 akiwa 18! Kama alidanganya basi alidanganya ile 2006 na sio sasa. Na kwa wakati ule, alionekana ni 18 kweli manake haya mataka taka aliyonayo sasa kv pombe na mikorogo alikuwa hajaanza!
 
Wema alishiriki u-miss akiwa na miaka 17, ilikuja kugundulika baada ya wapambe ambao hawakupenda ashinde yeye walikuwa wanamtaka JOKATE, wakachunguza na kuweka wazi Lundenga alipata wakati mgumu sana maana VODACOM walitaka kufuta idhamini, Lundenga akatupa hayo madai na akaishia kusema tu 'HAYA MASHINDANO YANAENDESHWA KWA GARAMA KUBWA SANA TUACHE WIVU" waka acha kubatilisha matokeo lakini wema alikuwa under age kushiriki umiss
 
So u mean she z 25 now....manake 2006 mpk sasa ni 8 years....17+8=25....Na uzee ule BIG NOOOO......
 
Hii clip, inafanya nizidi kumshukuru Mungu kwa kunipa mama Mstaarabu, mwenye hekima na mcha Mungu. Sijawahi kumsikia mzazi wangu (wa kike wala wa kiume) akitamka maneno makali kama hayo... na mimi pia kwa sasa ni mama, sijawahi/ sitawahi kuyatamka mbele ya mabinti zangu na kwa mtu yoyote yule.

Wewe ni mwanamke mwenye busara,nimekupenda sana....be blessed my dear..
 
So u mean she z 25 now....manake 2006 mpk sasa ni 8 years....17+8=25....Na uzee ule BIG NOOOO......
Tafuta kwenye mtandao picha siku aliposhinda crown ya miss Tanzania uone alivyokuwa , huo uzee ni mambo makubwa aliyoyakimbilia umalaya, ulevi, kula hovyo hamna mazoezi na mikorogo ndivyo vilivyomfanya akawa hivyo. Hata lulu kuna wakati utafika watu hawatakubaliana na umri wake, mwili unahitaji kutunzwa wao wanauchezea tu.
 
Wakati kwenye party imeandikwa 26 loo watu wanajifanya wanamjua Wemaa
Ndio ukweli ana miaka 26 na alipata umiss akiwa 17 ila alipata crown wiki chache kabla ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, hata wewe wajua mtu anahesabu mwaka mwingine baada ya kuifikia ile siku aliyozaliwa na sio kila mwaka mpya unapoanza.
 
Back
Top Bottom