Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Zamani nilikuwa namchukia Wema lakini kwasasa simchukii tena na aigawe papuchi mpaka iongee, kumbe chanzo cha vurumai yote kwenye maisha yake ni mama yake.Wema tembeza papuchi hiyo mpaka ikuletee jet.
Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.
akigombea umiss akikuwa na miaka 18 kamq nakumbuka vizuri ndio alikuwa mgombea mwenye umri mdogo kwa wakati ule
Watakatifu wa kwenye key board nishawazoea...in real life ukute mna midomo michafu kuliko huyo mama...tena ukute hilo mnalojidai tusi zito ndo kiunganishi chenu cha sentensi.
Humu kila mtu mtakatifu....
Ndo nishasema hivyo...ovaa.
mama wema hapa kweli kateleza, asingepaswa kuruhusu hasira zake ziongee mbele za watu na media vile, ndio maana maneno yasiokuwa na staha yamemtoka bika kujitambua, ametangaza bifu na team dengue ila nahisi ndio watamdhalilisha zaidi.
Sijui unatetea nini??huyo mama ana upungufu wa busara.Nilichogundua ni ngumu sana kumfundisha shairi jipya mbwa mzee ukitegemea ataimba....haiwezi tokea coz ni kitu kipya kwake.
Wapo ma celebrity wengi tu tena wana matatizo tena makubwa tu lakin aghalabu asilani sijawahi sikia mama/baba zao wakitoa matamko ya namna hii.
Huu ni ukosefu wa adabu na busara....mama Wema hataachwa kutukanwa kwenye mitandao maana na yeye anataka kuwa celebrity.
Mtu mzima hovyo...kujidhalilisha...kwani asingeweka mitusi angepata hasara gani..like mother like daughter. .huo wizi wa wanaume mwanae mbona nae yumo
Maza ana mpododo hatari anadai hajui cream wkti mwanae kajiloweka mpka anaonekana mbibi,huyu maza chini y kapet wanadai alikua house girl wa familia y sepetu.
Bdaa y mke w sepetu kufariki ndio akasogeza house girl kua mke,
Hpo mzee alikua jaji mwz wakikaa isamilo
Alaaa kumbeee...zero brain kabisa..na kuna mijitu ina msifu...no wonder ndio kina wema wenyew
Huyo maza c wakule kwahyo mi sishangai mama unasrma cheki shepu cna kovu,umri wke c wakuongea hyo maneno
Pombe sio chaaaaiiii....biashara matangazo