Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Zamani nilikuwa namchukia Wema lakini kwasasa simchukii tena na aigawe papuchi mpaka iongee, kumbe chanzo cha vurumai yote kwenye maisha yake ni mama yake.Wema tembeza papuchi hiyo mpaka ikuletee jet.

D8h hanha ha ha ha ha hahhahah
 
Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.

akigombea umiss akikuwa na miaka 18 kamq nakumbuka vizuri ndio alikuwa mgombea mwenye umri mdogo kwa wakati ule
 
Anaona hajaandikwa muda mrefu na Shigongo anatafuta umaarufu harufu nimevutia picha ya wazazi nnaowahafamu nimeona nimwangalie kama mtu mzima aliyeteleza
 
mama wema hapa kweli kateleza, asingepaswa kuruhusu hasira zake ziongee mbele za watu na media vile, ndio maana maneno yasiokuwa na staha yamemtoka bika kujitambua, ametangaza bifu na team dengue ila nahisi ndio watamdhalilisha zaidi.
 
Kim nana

tatizo si mtoto
wote sisi wazazi na ktk familia wapo walioipinda ila suala la mzazi kuongea ujinga hadharanj eti kutetea uovu hata huku manzese kwetu mzazi wa hvyo tunamshangaa
yule mama mtu mzima ila hovyooo

Tena hovyooo kabisa
 
akigombea umiss akikuwa na miaka 18 kamq nakumbuka vizuri ndio alikuwa mgombea mwenye umri mdogo kwa wakati ule

Mbona wenzake wko fresh uwoya,aunt,kidoti ila yeye anaonekana wa kale kuliko wenzake,aligombea nao umis mwaka huo
 
Watakatifu wa kwenye key board nishawazoea...in real life ukute mna midomo michafu kuliko huyo mama...tena ukute hilo mnalojidai tusi zito ndo kiunganishi chenu cha sentensi.
Humu kila mtu mtakatifu....

Ndo nishasema hivyo...ovaa.

Sijui unatetea nini??huyo mama ana upungufu wa busara.Nilichogundua ni ngumu sana kumfundisha shairi jipya mbwa mzee ukitegemea ataimba....haiwezi tokea coz ni kitu kipya kwake.

Wapo ma celebrity wengi tu tena wana matatizo tena makubwa tu lakin aghalabu asilani sijawahi sikia mama/baba zao wakitoa matamko ya namna hii.

Huu ni ukosefu wa adabu na busara....mama Wema hataachwa kutukanwa kwenye mitandao maana na yeye anataka kuwa celebrity.
 
mama wema hapa kweli kateleza, asingepaswa kuruhusu hasira zake ziongee mbele za watu na media vile, ndio maana maneno yasiokuwa na staha yamemtoka bika kujitambua, ametangaza bifu na team dengue ila nahisi ndio watamdhalilisha zaidi.

Huyu mama anajidhalilisha mwenyewe kwa hyo basi acha adhalilishwa.
 
Sijui unatetea nini??huyo mama ana upungufu wa busara.Nilichogundua ni ngumu sana kumfundisha shairi jipya mbwa mzee ukitegemea ataimba....haiwezi tokea coz ni kitu kipya kwake.

Wapo ma celebrity wengi tu tena wana matatizo tena makubwa tu lakin aghalabu asilani sijawahi sikia mama/baba zao wakitoa matamko ya namna hii.

Huu ni ukosefu wa adabu na busara....mama Wema hataachwa kutukanwa kwenye mitandao maana na yeye anataka kuwa celebrity.

well said mdau yaani ndio kawasha moto na hata akidhalilishwa watu hawatasikitika she deserve it
 
Mtu mzima hovyo...kujidhalilisha...kwani asingeweka mitusi angepata hasara gani..like mother like daughter. .huo wizi wa wanaume mwanae mbona nae yumo

Maza ana mpododo hatari anadai hajui cream wkti mwanae kajiloweka mpka anaonekana mbibi,huyu maza chini y kapet wanadai alikua house girl wa familia y sepetu.
Bdaa y mke w sepetu kufariki ndio akasogeza house girl kua mke,
Hpo mzee alikua jaji mwz wakikaa isamilo
 
Alaaa kumbeee...zero brain kabisa..na kuna mijitu ina msifu...no wonder ndio kina wema wenyew
 
Pombe sio chaaaaiiii....biashara matangazo

Kuna dada zake inakuaje wanashindwa kumkanya mama n binti wke ila mwisho wke c mzuri,tajiri na mali yke anafilisika yeye hata kibanda hana soon atabaki historia.mbna wenzke wana majumba ila kimya 2
 
Back
Top Bottom